Keki isiyo oza

Keki isiyo oza

gstar

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
790
Reaction score
1,373
KEKI ISIYOOZA.
Chukua kiasi kikubwa cha "UCHANGAMFU".
Angalia kisiwe kikubwa sana. Changanya na
bakuli lililojaa "UKARIMU". Ongeza bakuli la
"WEMA" Changanya na kijiko cha "HURUMA"
Koroga vyote kwa pamoja na baadae chuja ili
kuondoa taka za "UBINAFSI" Weka kiungo
kiitwacho "UPENDO" Oka kwenye jiko lenye joto
la "SALA" Pakua ingali moto, na iweke kwenye
chombo cha matundu ili kuwezesha mvuke
kupenya na kusambaza harufu ya "UPENDO".
 
Ni nzuri ila kwa wachache sana sana.Hii Dunia imetawaliwa na unafiki ukimuona mtu anakuchangamkia ujue umepata pesa anataka akuchune au kuna bomu anakuandalia akulipue.
 
Hii nayo taamu
FRENCH CAKE !!

BBn0u4x.img
 
Back
Top Bottom