Keki kutochambuka

Keki kutochambuka

mchawi baking powdwer tu apo, ongeza kipimo kidogo, then utaniambia
na ajitahidi kuukoroga unga vizuri mpaka uwe smooth yan sukar siagi bakin powder na mayai na mahitaj mengine yamejichanganya vizuri kabisa
 
Back
Top Bottom