Keki na biskuti za mmea

mavado

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2014
Posts
1,153
Reaction score
798
Salaam waungwana, aisee nataka kufungua bekari spesheli ya kuoka na kutengeneza keki na biskuti za huu mmea wa kijani unaopendwa sana kule Jamaica na ambao umeruhusiwa kule kwa Obama katika baadhi ya majimbo, haka kaujuzi nimekapata kwa majirani zetu hapo ukivuka namanga. So nahitaji patner katika hili.
Michango na mawazo yenu ni ya muhimu sana.
 
ushawahi kutumia keki zake na biskuti zake?
Hazibadilishi madhara kama ilivyokuwa ikitumiwa kwa kuchomwa?

Kaitafute TRA kwanza upate TIN then uone utaendeleaje.
 
ushawahi kutumia keki zake na biskuti zake?
Hazibadilishi madhara kama ilivyokuwa ikitumiwa kwa kuchomwa?

Kaitafute TRA kwanza upate TIN then uone utaendeleaje.

We are discussing business and ideas za kukua kwake, kwani kama kuna madhara hawatanunua . Acha hizo this is big opportunity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…