S Shayla Senior Member Joined Mar 25, 2014 Posts 193 Reaction score 129 Oct 24, 2018 #1 Wanajamvi kama kichwa kinavyojieleza naomba kujua vipimo Kwa ajili ya cake ya biashara nikimaanisha cake za kuuza madukani, super markets na kathalika. Na nini niweke ili iweze kaa MDA mrefu bila kuharibika. Natanguliza shukrani
Wanajamvi kama kichwa kinavyojieleza naomba kujua vipimo Kwa ajili ya cake ya biashara nikimaanisha cake za kuuza madukani, super markets na kathalika. Na nini niweke ili iweze kaa MDA mrefu bila kuharibika. Natanguliza shukrani
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,132 Reaction score 31,149 Oct 27, 2018 #2 Mkuje Jamani