Keki ya Biashara

Keki ya Biashara

Shayla

Senior Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
193
Reaction score
129
Wanajamvi kama kichwa kinavyojieleza naomba kujua vipimo Kwa ajili ya cake ya biashara nikimaanisha cake za kuuza madukani, super markets na kathalika.

Na nini niweke ili iweze kaa MDA mrefu bila kuharibika.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom