Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Are the Pharmaceutical industries running the show?
Hii kelele na hofu kubwa ya COVID-19 ni kama filamu la Mission Impossible 2 (2000) kwa vitendo?.
Mataifa yote duniani tuna chezeshwa mchezo kama wa kampuni ya kusadikika iitwayo Biocyte Pharmaceuticals wa kutengeneza Chimera Virus na tiba yake Bellerophon?
Hadithi katika filamu ya mwamba Tom Cruise aliye igiza kama jasusi toka katika kitengo cha Impossible Mission Force (IMF) ndani ya CIA aitwae Ethan Hunt, filamu inaelezea jinsi mtengeneza madawa anavyo fanya utafiti (research) na kutengeneza kirusi cha mafua hatari kinacho uwa binadamu na huyo huyo anatengeneza tiba yake, kisha anasambaza kirusi mtaani.
Nasema hivi mtakuja tu kununua dawa aliyogundua mtengeneza tatizo bila kupenda. Nchi gani itapenda kuendelea kufungia watu wake ndani miaka kadhaa? Au nchi gani itapenda kuona raia wake wakifa maelfu kwa maelfu?
Kama hamtaki kucheza ngoma ya mtengeneza tatizo jamaa anajisemea rohoni "tunatengeneza hofu kubwa sana mitaani kisha mtakuja tu kumtafuta mtengenezaji dawa haraka".
Naona kama hii COVID-19 na sakata zima la kumdhibiti huyu kirusi linachukua sura ya Chimera virus na dawa ya Bellerophon, sijui wewe msomaji una maoni gani na mfanano huu. Je, hii imetokea tu? Is it just a coincidence?
Tuwe macho na vita vya kiuchumi kati ya nchi zenye nguvu za kiuchumi, sijui na sisi lini wasomi wetu watafanikiwa kutengeneza dude kama hili na sisi tutokee hapohapo kiuchumi kwa kuuza dawa zake.
Tunatengeneza LAB moja matata pale Ifakara inakuwa WUHAN yetu ndogo...hahaaa ..., nilikuwa natania jamani.