Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Eti maridhiano. Kuna maridhiano hapo au ile ziara ya rais Samia kule USA ndio imezaaa maridhiano uchwara ili kuwaridhisha mabeberu kuwa kuna demokrasia nchini. Demokrasia uchwara wakati wananchi wa kawaida wanaumia. Tozo, ufisadi na ughali wa maisha.
Nani mwananchi wa kawaida anahitaji Chama kama Chadema? Njooni uraiani muone. Hizi maridhiano njaa haziwabebi hata kidogo zaidi ya manufaa kwa Mbowe na rais Samia tu.
Soma, Pia: Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini