Eti maridhiano. Kuna maridhiano hapo au ile ziara ya rais Samia kule USA ndio imezaaa maridhiano uchwara ili kuwaridhisha mabeberu kuwa kuna demokrasia nchini. Demokrasia uchwara wakati wananchi wa kawaida wanaumia. Tozo, ufisadi na ughali wa maisha.
Nani mwananchi wa kawaida anahitaji Chama kama Chadema? Njooni uraiani muone. Hizi maridhiano njaa haziwabebi hata kidogo zaidi ya manufaa kwa Mbowe na rais Samia tu.
Alikuwa anakenua ila kwa sasa analia kama mbwa koko. Afu mbaya zaidi hawataki kuamini macho yao kuwa kiongozi wao wa malaika keshatangulia na kuwaacha wakiwa hawajui wafanye nini. Hebu imagine mtu mzima kabisa anakuja mtandaoni anailalamikia chadema, utadhani chadema ndio wanaounda serikaliKwa hali ya kisiasa inayoendelea hivi sasa hapa nchini, kibaraka wa Sukuma Gang ni lazima ikuume tu. Matendo yenu ya kidhalimu na kifedhuli hayana nafasi tena nchini. Hakuna kesi za uchochezi tena, vyama vipo huru kuendesha shughuli za kisiasa, hakuna tena shughuli za wasiojulikana, hakuna tena maiti za kwenye viroba, n.k.
Tubu dhambi zako, ama la, mauti na kuzimu zipo pamoja na wewe na zitakuandama daima. Una Bunge la kama chama kimoja, unailalamikia nini CDM? Nini wajibu wa wabunge hao katika kuishauiri na kuisimamia serikali ili kuthibiti ugumu wa maisha? Wakati wa uchafuzi wa 2019 na 2020 si ulikuwa ukikenua meno na kushangilia ushindi "fake" wa kimbunga kwa chama tawala?
Sijui hapa wewe umefanya nini mkuu, kama siyo ku-comment [emoji2]Akili ndogo sana hii, ni aibu kucomment hapa
Hehehehe, eti mh Mbowe kadhamiria.tunafahamu kuwa baadhi ya wafuasi wa Chadema hamfurahishwi na jitihada zinazo fanywa na Mwenyekiti Mh. mbowe za kuleta maridhiano na utengamano wa kisiasa nchini.
Lakini nataka kuwaambia kuwa Mh. Mbowe kadhamiria kufanya siasa za kistaarabu za kuijenga nchi sio siasa za chuki, matusi na uhasama.
nawashauri wafuasi wa Chadema mmbadilike.
VIBARAKA WA MAGUFULI MNAUMIA SANA JINSI MAMA ANAVYOENDESHA NCHI NA SIASA MH.MBOWE ALIMWOMBA MAGUFULI WAFANYE MARIDHIANO ALIKATAA MWACHE MAMA APATE THAWABU ZAKE KWA MUNGU MARIDHIANO YAMEWATOA MAGEREZANI MAMIA YA WANANCHI MAGUFULI ALIOWAFUNGA KWA UONEVUEti maridhiano. Kuna maridhiano hapo au ile ziara ya rais Samia kule USA ndio imezaaa maridhiano uchwara ili kuwaridhisha mabeberu kuwa kuna demokrasia nchini. Demokrasia uchwara wakati wananchi wa kawaida wanaumia. Tozo, ufisadi na ughali wa maisha.
Nani mwananchi wa kawaida anahitaji Chama kama Chadema? Njooni uraiani muone. Hizi maridhiano njaa haziwabebi hata kidogo zaidi ya manufaa kwa Mbowe na rais Samia tu.
Acha hasira ndugu.Eti maridhiano. Kuna maridhiano hapo au ile ziara ya rais Samia kule USA ndio imezaaa maridhiano uchwara ili kuwaridhisha mabeberu kuwa kuna demokrasia nchini. Demokrasia uchwara wakati wananchi wa kawaida wanaumia. Tozo, ufisadi na ughali wa maisha.
Nani mwananchi wa kawaida anahitaji Chama kama Chadema? Njooni uraiani muone. Hizi maridhiano njaa haziwabebi hata kidogo zaidi ya manufaa kwa Mbowe na rais Samia tu.
Says a Sukuma gang member.tunafahamu kuwa baadhi ya wafuasi wa Chadema hamfurahishwi na jitihada zinazo fanywa na Mwenyekiti Mh. mbowe za kuleta maridhiano na utengamano wa kisiasa nchini.
Lakini nataka kuwaambia kuwa Mh. Mbowe kadhamiria kufanya siasa za kistaarabu za kuijenga nchi sio siasa za chuki, matusi na uhasama.
nawashauri wafuasi wa Chadema mmbadilike.
Hivi sasa ndiyo 'wananchi wa kawaida' wanatumia? Hawakuwa wakiumia wakati Wasiojulikana wakiua, wakitesa, wakijeruhi na kupora mali za watu?Eti maridhiano. Kuna maridhiano hapo au ile ziara ya rais Samia kule USA ndio imezaaa maridhiano uchwara ili kuwaridhisha mabeberu kuwa kuna demokrasia nchini. Demokrasia uchwara wakati wananchi wa kawaida wanaumia. Tozo, ufisadi na ughali wa maisha.
Nani mwananchi wa kawaida anahitaji Chama kama Chadema? Njooni uraiani muone. Hizi maridhiano njaa haziwabebi hata kidogo zaidi ya manufaa kwa Mbowe na rais Samia tu.
Umejiunga JF Jana Hadi useme Idugunde ni mwana CHADEMA? Kuna Mtu JF hajui itikadi ya Idugunde?tunafahamu kuwa baadhi ya wafuasi wa Chadema hamfurahishwi na jitihada zinazo fanywa na Mwenyekiti Mh. mbowe za kuleta maridhiano na utengamano wa kisiasa nchini.
Lakini nataka kuwaambia kuwa Mh. Mbowe kadhamiria kufanya siasa za kistaarabu za kuijenga nchi sio siasa za chuki, matusi na uhasama.
nawashauri wafuasi wa Chadema mmbadilike.
Tusubili uchaguzi tuone matokeo ya maridhiano.VIBARAKA WA MAGUFULI MNAUMIA SANA JINSI MAMA ANAVYOENDESHA NCHI NA SIASA MH.MBOWE ALIMWOMBA MAGUFULI WAFANYE MARIDHIANO ALIKATAA MWACHE MAMA APATE THAWABU ZAKE KWA MUNGU MARIDHIANO YAMEWATOA MAGEREZANI MAMIA YA WANANCHI MAGUFULI ALIOWAFUNGA KWA UONEVU
Mkuu, labda hivi viambatanisho viwili vitamfanya atambue kuwa hajui chochote zaidi ya kuandika upuuzi.Alikuwa anakenua ila kwa sasa analia kama mbwa koko. Afu mbaya zaidi hawataki kuamini macho yao kuwa kiongozi wao wa malaika keshatangulia na kuwaacha wakiwa hawajui wafanye nini. Hebu imagine mtu mzima kabisa anakuja mtandaoni anailalamikia chadema, utadhani chadema ndio wanaounda serikali