Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna chanzo kilitajwa kuwa ndicho cha uhakika kipo Mvomero milimani huko, lakini ikasemekana kikiguswa hicho kitaathiriHali ya upatikanaji wa maji safi Morogoro mjini na viunga vyake imeendelea kuzorota siku hadi siku kwa zaidi ya miaka miwili sasa licha ya sifa kama si misifa tele kwa wanaoongoza sekta hii nyeti.
Bila shaka chanzo hicho kitakuwa kinahusiana na Bonde la Mto Wami.Kuna chanzo kilitajwa kuwa ndicho cha uhakika kipo Mvomero milimani huko, lakini ikasemekana kikiguswa hicho kitaathiri
- Mtibwa plantations
- Chalinze water supply
- Mashamba ya Azam
- Sadan Game reserve
Naiona dalili Bwashee.Maji yanapungua kwenye Vyanzo
Waziri hatadumu
Huyu ni mtoto wa maza ni kama Makonda awamu ya dikteta wala hakuna la maana anafanyaHali ya upatikanaji wa maji safi Morogoro mjini na viunga vyake imeendelea kuzorota siku hadi siku kwa zaidi ya miaka miwili sasa licha ya sifa kama si misifa tele kwa wanaoongoza sekta hii nyeti.
Kwani hakuna Ujenzi wa mradi unaendelea? Wakandarasi wako site unategemea maji yatoke on time?Hali ya upatikanaji wa maji safi Morogoro mjini na viunga vyake imeendelea kuzorota siku hadi siku kwa zaidi ya miaka miwili sasa licha ya sifa kama si misifa tele kwa wanaoongoza sekta hii nyeti.
Mradi upi hebu utaje usikute hata Morogoro hupafahamuKwani hakuna Ujenzi wa mradi unaendelea? Wakandarasi wako site unategemea maji yatoke on time?
Subiria mradi umalizike.
Nakupa tahadhali huyo mtu akili Hana, ni mpumbavu wa mwishoMradi upi hebu utaje usikute hata Morogoro hupafahamu
Kwani hakuna Ujenzi wa mradi unaendelea? Wakandarasi wako site unategemea maji yatoke on time?
Subiria mradi umalizike.
Mkuu wakandarasi wapo saiti ya wapi?
Kihonda Kilimanjaro Kilimani pale inajengwa Tank ya Kufa Mtu ambapo likikamilika Shida ya Maji mtaisikia tu kwa wengine! Kwahiyo kuweni wavumilivu