Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CDM mitandaoni uraiani hawapo 😁😁😁Na hiki ndio huwa kinawafanya wanaangukia pua, puuu.
Uraiani hawakubaliki kabisa maana ndio kwenye uhalisia.
Lakini wao wanakomaa kueneza propaganda njaa kwenye mitandao ya kijamii.
Kura zikijakupigwa kiuhalisia wanabaki kusema wameibiwa.
Tutaelewana tu kwenye tukio kuuNani anwajari hao machawa wa Samia
USSR
MbaraliNa hiki ndio huwa kinawafanya wanaangukia pua, puuu.
Uraiani hawakubaliki kabisa maana ndio kwenye uhalisia.
Lakini wao wanakomaa kueneza propaganda njaa kwenye mitandao ya kijamii.
Kura zikijakupigwa kiuhalisia wanabaki kusema wameibiwa.