CDM mitandaoni uraiani hawapo πππNa hiki ndio huwa kinawafanya wanaangukia pua, puuu.
Uraiani hawakubaliki kabisa maana ndio kwenye uhalisia.
Lakini wao wanakomaa kueneza propaganda njaa kwenye mitandao ya kijamii.
Kura zikijakupigwa kiuhalisia wanabaki kusema wameibiwa.
Tutaelewana tu kwenye tukio kuuNani anwajari hao machawa wa Samia
USSR
MbaraliNa hiki ndio huwa kinawafanya wanaangukia pua, puuu.