Ina maana Kalpana unaumia kuliko Boss Moo anayetoa pesa😎😎😎 😉 😉 😉 Msyuuuuu
Umerogwa 😞😞Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane
TAHADHARI
Kama unaelewa kabisa una presha,au unahanguka na kuzimia kama OKW BOBAN SUNZU ,Tafadhali sana nakusihi tarehe 8.3.2025 usiende uwanjani au usiende banda Umiza !
Siku hiyo ndiyo siku ambayo GSM anakwenda kuchukiwa kuliko siku zote tangu Dunia iumbwe!,hivyo basi chukua TAHADHARI mapema!
Leo Kalpana kashindwa hadi kula kisa Ushindi wa mabingwa,amebaki kusonya tu kama kisokorokwinyo!
MAKOLO MLIBHWANJI?
Hamna mpira sijauweka moyoni kuniumiza aisee..na ktk kitu na avoid ni hicho...mm hata tukifungwa najaribu kutafuta faraja kwny matokeo mengine..yani ndo mpira uniumiize nishindwe kufanya mambo yangu?? Big NooIna maana Kalpana unaumia kuliko Boss Moo anayetoa pesa
Kwani kuna nini? Mbona siwaelewi..mna furahia nini labda...kweli nyie utopolo hamnazo... 😀Hakuna biashara nzuri sahivi Tanzania kama kuuza Dawa za maumivu..
Ni Muda wa CCM kuleta Panadol za Kenya kwa wingi
Makolo Muli Bwanji [emoji16][emoji23][emoji81][emoji1787]
Tulibhwanji mkuuNsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane
TAHADHARI
Kama unaelewa kabisa una presha,au unahanguka na kuzimia kama OKW BOBAN SUNZU ,Tafadhali sana nakusihi tarehe 8.3.2025 usiende uwanjani au usiende banda Umiza !
Siku hiyo ndiyo siku ambayo GSM anakwenda kuchukiwa kuliko siku zote tangu Dunia iumbwe!,hivyo basi chukua TAHADHARI mapema!
Leo Kalpana kashindwa hadi kula kisa Ushindi wa mabingwa,amebaki kusonya tu kama kisokorokwinyo!
MAKOLO MLIBHWANJI?
Ni mpaka mkishindaHuyu jamaa mleta mada atakuwa anachapwa nao, SIMBA tukishinda mechi zetu zote hadi kiporo tunarudi kileleni sasa unachofurahia nini?
Makolo tulibwinoNsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane
TAHADHARI
Kama unaelewa kabisa una presha,au unahanguka na kuzimia kama OKW BOBAN SUNZU ,Tafadhali sana nakusihi tarehe 8.3.2025 usiende uwanjani au usiende banda Umiza !
Siku hiyo ndiyo siku ambayo GSM anakwenda kuchukiwa kuliko siku zote tangu Dunia iumbwe!,hivyo basi chukua TAHADHARI mapema!
Leo Kalpana kashindwa hadi kula kisa Ushindi wa mabingwa,amebaki kusonya tu kama kisokorokwinyo!
MAKOLO MLIBHWANJI?
Ndo ushinde sasa unafanya hesabu za hewaniHuyu jamaa mleta mada atakuwa anachapwa nao, SIMBA tukishinda mechi zetu zote hadi kiporo tunarudi kileleni sasa unachofurahia nini?