Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Tulibwanji.Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane
TAHADHARI
Kama unaelewa kabisa una presha,au unahanguka na kuzimia kama OKW BOBAN SUNZU ,Tafadhali sana nakusihi tarehe 8.3.2025 usiende uwanjani au usiende banda Umiza !
Siku hiyo ndiyo siku ambayo GSM anakwenda kuchukiwa kuliko siku zote tangu Dunia iumbwe!,hivyo basi chukua TAHADHARI mapema!
Leo Kalpana kashindwa hadi kula kisa Ushindi wa mabingwa,amebaki kusonya tu kama kisokorokwinyo!
MAKOLO MLIBHWANJI?
Nakukumbusha kuweka akiba ya maneno. Kumbuka jana sio leo, wala leo sio kesho. Usikariri maisha. Msijiamini kupita kiasi. Mambo huweza kubadilika katika namna ambayo hukutarajia.