Kelele za mfumo dume hazisikiki tena

Ila Frankly, nahisi kuna ka "Amani " flani hivi...hatusimwangwi, hatusakamwi, hakuna anayevimba mashavu kwamba yeye ndiye mtoto pendwa pekee!, kuna fursa zimeanza kutokea (Yes zipo)..Yani hata kama huna mkwanja kivile lakini una uhakika..Big Up to our Mothers bhana..changamoto zipo tu kwa tuliolelewa na single mothers tunaelewa hasa Mama akiwa 'mtumishi' ..kamwe hawezi sahau familia yake!
 
Nimetapika Sana kwa uharo ulioandika are you insane???au unapiga vant na cannabis zinduka acha utoto na ujinga
 
Tu
Nimetapika Sana kwa uharo ulioandika are you insane???au unapiga vant na cannabis zinduka acha utoto na ujinga
πŸ˜€Huwezi jua nani, huyu ama yule alipitia nini na kwa muda gani nyakati zilizopita..tunavumiliana tu..kuna tatizo mkuu? pole sana! Let nature take its course..huna haja ya jazba..kama familia tulizipitia za moja kwa moja na zile ambazo passive!
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Wako wengine kama malkia nzinga wa Ndongo, malkia makeda wa sheba, mfia dini Kimpa Vita wa Kongo, na yule wa kule Jamaika, waliomwita " Nanny of the Maroons"...Sema hawa wanawake wa zamani walikuwa wana uwezo kama wanaume hawakuwa lelemama hata kidogo...kama huyo Nzinga alikuwa anajua kupigana hatari...yani ni jemadari haswa...na hao wengine walikuwa wana uwezo mkubwa sana katika elimu za asili za kiafrika, kama huyo nanny of the maroons....wako wengine kama Hatsepsut wa misri ya kale-kemet. Hivo wanawake wanaweza sana tu ila si lazma iwe kwa gharama ya wanaume.
 
Shida sio kushika uongozi au nyadhifa flani, shida ni akili na uwezo.
Wanaweza kuwapa nafas zote za uongozi lakin bado wakawa wapo chini ya wanaume flan wenye nguvu(ushawishi na tricks za kuwatumia)
 
Sema hawa wanawake wa zamani walikuwa wana uwezo kama wanaume hawakuwa lelemama hata kidogo...kama huyo Nzinga alikuwa anajua kupigana hatari...yani ni jemadari haswa...na hao wengine walikuwa wana uwezo mkubwa sana katika elimu za asili za kiafrika[emoji1545]
 
Umejibu kiungwana Sana ,ubarikiwe mkuu!![emoji120]
 
.....NI SAWA KABISA KWANI WALITUPA NAFASI WAKAKAA KIMYA HADI BAADA YA KUONA MAMBO HAYAENDI NDIO WAKAPIGA KELELE NA HATIMAYE!!!....KAZI IENDELEE...
 
Umejibu kiungwana Sana ,ubarikiwe mkuu!![emoji120]
Ndani ya JF kuna great thinkers na great sinkers! Replies kwenye mijadala humtambulisha mtu kama ni GT au ni GS..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…