luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Binafsi mm naishangaa sana Nchi yangu ya Tanzania pamoja na utawala wa hii nchi yaan ni mambo ya ajabu sijui tunaelekea wapi yaan mijini ni makelele tu tu ya ma bar usiku kucha bado huo mchana ni ma pikipiki kupiga kelele tu ..Hiyo tabia imeshamiri kila sehemu hatua zisipo chukuliwa watakuja kuuwa watu kwa mshtuko