Kelele za 'Robertinho atimuliwe' kuisha wiki hii

Huu ndio uzi sasa!! Sio zile story za umbea na kutunga za GENTAMYCINE
Mbona hata huyu GENTAMYCINE huwa anatoa tips za namna hiyo na nyingine zinatokea kama alivyosema?

Mimi nimefatilia threads zake nyngi zimetimia kwa usahihi, na chache kwenda kinyume. Mbona hata mechi ya Simba vs Power Dynamos alisema game ingekuwa ngumu sana na pengine Mnyama akafa? Na kweli ikawa almanusra.

Unasema ana story za umbea na za kutunga: mbona ishu ya uongozi wa Azam kutaka kuzamisha jahazi la Simba mbele ya Power Dynamos (hujuma) karibu kila Mwanasimba analijua na analaani (fatilia mitandaoni)? Na hili jambo GENTAMYCINE alilisema mapema na akatoa tahadhari kwa uongozi wa Simba.
 
Mmmmh
 
Mkuu, siyo kwamba nimekushusha hadhi ila kuna kitu nilikuwa namkumbusha huyo mdau.

Halafu watu wa humu wengi ni wanafiki sana. Yaani huwa wanapongeza pale jambo linapotimia ila kabla halijatimia wanatoa kashfa, kebehi na kila dharau kwa mleta uzi.

Humu kuna watu huwa wanatabiri kitu mapema (kama ulivyofanya wewe) ila wanaishia kudhalilishwa. Kwa mfano, ukiachana hata na Haya mambo ya soka, kule kwenye jukwaa la siasa kuna watu walitabiri kifo cha JPM miaka kadhaa na hata muda mfupi kabla tukio hilo halijatokea ila watu wakawakejeli watabiri hao. Jambo hilo lilipotimia kila mtu akawageukia watabiri hao ''kumbe mlikuwa sahihi bhana, mliona mbali sana kuliko sisi".
 
Mkuu, siyo kwamba nimekushusha hadhi ila kuna kitu nilikuwa namkumbusha huyo mdau.

Halafu watu wa humu wengi ni wanafiki sana. Yaani huwa wanapongeza pale jambo linapotimia ila kabla halijatimia wanatoa kashfa, kebehi na kila dharau kwa mleta uzi...
Sasa kwakili yako fupi unaweza kumsifia mtabiri kabla jambo hilo kutokea? Kila mtu anatabiri ishu niyule anaetabiri ukwel ndo mwishon anapewa taji....
 
Ok
 
Lazima ziishe kwani waliokuwa wanaeneza hizo propaganda ni Utopolo..sasa walikuwa busy na Simba hadi wakaisahau Ihefu...kilichowapata shetani ndiyo anajua.
 
Lazima ziishe kwani waliokuwa wanaeneza hizo propaganda ni Utopolo..sasa walikuwa busy na Simba hadi wakaisahau Ihefu...kilichowapata shetani ndiyo anajua.
Mmmmmh
 
canfi hongera sana kwa kutabiri kwa usahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…