1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Jamaa umetabiri 100%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hata huyu GENTAMYCINE huwa anatoa tips za namna hiyo na nyingine zinatokea kama alivyosema?Huu ndio uzi sasa!! Sio zile story za umbea na kutunga za GENTAMYCINE
MmmmhMbona hata huyu GENTAMYCINE huwa anatoa tips za namna hiyo na nyingine zinatokea kama alivyosema?
Mimi nimefatilia threads zake nyngi zimetimia kwa usahihi, na chache kwenda kinyume. Mbona hata mechi ya Simba vs Power Dynamos alisema game ingekuwa ngumu sana na pengine Mnyama akafa? Na kweli ikawa almanusra...
HakikaJamaa umetabiri 100%
Mkuu, siyo kwamba nimekushusha hadhi ila kuna kitu nilikuwa namkumbusha huyo mdau.Mmmmh
Sasa kwakili yako fupi unaweza kumsifia mtabiri kabla jambo hilo kutokea? Kila mtu anatabiri ishu niyule anaetabiri ukwel ndo mwishon anapewa taji....Mkuu, siyo kwamba nimekushusha hadhi ila kuna kitu nilikuwa namkumbusha huyo mdau.
Halafu watu wa humu wengi ni wanafiki sana. Yaani huwa wanapongeza pale jambo linapotimia ila kabla halijatimia wanatoa kashfa, kebehi na kila dharau kwa mleta uzi...
OkMkuu, siyo kwamba nimekushusha hadhi ila kuna kitu nilikuwa namkumbusha huyo mdau.
Halafu watu wa humu wengi ni wanafiki sana. Yaani huwa wanapongeza pale jambo linapotimia ila kabla halijatimia wanatoa kashfa, kebehi na kila dharau kwa mleta uzi.
Humu kuna watu huwa wanatabiri kitu mapema (kama ulivyofanya wewe) ila wanaishia kudhalilishwa. Kwa mfano, ukiachana hata na Haya mambo ya soka, kule kwenye jukwaa la siasa kuna watu walitabiri kifo cha JPM miaka kadhaa na hata muda mfupi kabla tukio hilo halijatokea ila watu wakawakejeli watabiri hao. Jambo hilo lilipotimia kila mtu akawageukia watabiri hao ''kumbe mlikuwa sahihi bhana, mliona mbali sana kuliko sisi".
Lazima ziishe kwani waliokuwa wanaeneza hizo propaganda ni Utopolo..sasa walikuwa busy na Simba hadi wakaisahau Ihefu...kilichowapata shetani ndiyo anajua.Kutokana na kukamiwa kupita kiasi, ni dhahiri Yanga wanaenda kuangusha points mbele ya Ihefu. Aidha, kutokana na udhaifu wa Tanzania prisons, Simba wako likely kujikusanyia points zote tatu na kuongoza msimamo wa ligi.
Ikiwa hii itatokea, natarajia mabadiliko makubwa ya siasa za mpira wa bongo this week. Kubwa zaidi ni kupungua kwa kelele za mashabiki wa Simba za kutaka kocha wao atimuliwe. Hali hii itachangizwa zaidi na mentality ya mashabiki wa hizi timu hizi mbili kuhusanisha mafanikio ya timu moja 'in relation to' hali ya timu nyingine.
Ngoja tuone
MmmmmhLazima ziishe kwani waliokuwa wanaeneza hizo propaganda ni Utopolo..sasa walikuwa busy na Simba hadi wakaisahau Ihefu...kilichowapata shetani ndiyo anajua.
canfi hongera sana kwa kutabiri kwa usahihiKutokana na kukamiwa kupita kiasi, ni dhahiri Yanga wanaenda kuangusha points mbele ya Ihefu. Aidha, kutokana na udhaifu wa Tanzania prisons, Simba wako likely kujikusanyia points zote tatu na kuongoza msimamo wa ligi.
Ikiwa hii itatokea, natarajia mabadiliko makubwa ya siasa za mpira wa bongo this week. Kubwa zaidi ni kupungua kwa kelele za mashabiki wa Simba za kutaka kocha wao atimuliwe. Hali hii itachangizwa zaidi na mentality ya mashabiki wa hizi timu hizi mbili kuhusanisha mafanikio ya timu moja 'in relation to' hali ya timu nyingine.
Ngoja tuone
Ahsante
AbsolutelyUtabiri umetimia kwa 100%
KabisaMkeka umetiki
AhsanteHuu ni zaidi ya unabii, hongera Kwa kipaji hiki@
Ni kweliKaka umetisha sana