Haya bhana
Yaani unataka Yanga ifungwe na ihefu halafu Simba wajichukulie points zote 3 kwa prisons. Sasa kaa vizuri kusubiri matokeo ya utabiri wako.
Ungejikita kuzungumzia performance ya Simba na tinho wake ingependeza zaidi
Mkuu leo umeweka unazi pembeni umeongelea uhalisia.Naona utabiri wako unaelekea kutimia. Ukijumlisha na madudu ya Garmond ya kupanga kikosi kisichoeleweka, hakika kelele zote zitaisha.
Katika hili unastahili pongezi. Kelele zote za kumkataa Robertinho ndiyo zimeishia leo.
Na baada ya hapa tunasubiria tu kelele zote kuhamia kwenye ushindi wa Ihefu! Ihefu imepiga kwenye mshono! Ihefu ndiyo mbabe wa Yanga, nk. Na hawa ndiyo mashabiki wengi wa simba na Yanga walivyo. Siku zote wanaendeshwa na matukio na mihemko.
Kuna muda analetaga madini ila kuna muda yupo kama vile kakurupushwaMbona hata huyu GENTAMYCINE huwa anatoa tips za namna hiyo na nyingine zinatokea kama alivyosema?
Mimi nimefatilia threads zake nyngi zimetimia kwa usahihi, na chache kwenda kinyume. Mbona hata mechi ya Simba vs Power Dynamos alisema game ingekuwa ngumu sana na pengine Mnyama akafa? Na kweli ikawa almanusra.
Unasema ana story za umbea na za kutunga: mbona ishu ya uongozi wa Azam kutaka kuzamisha jahazi la Simba mbele ya Power Dynamos (hujuma) karibu kila Mwanasimba analijua na analaani (fatilia mitandaoni)? Na hili jambo GENTAMYCINE alilisema mapema na akatoa tahadhari kwa uongozi wa Simba.
Huu ni zaidi ya unabii, hongera Kwa kipaji hiki@
Haya bhanaIla sasa unaweza kuta huyu jamaa kama ALIBETI, utakuta ALIIPA YANGA USHINDI, akaiua Ihefu…!!! Ila humu aliandika MAONO SAHIHI…!!!
Hiki sio kipaji, bali ni ZALI TU…!!!!
Hebu mpe mwenzio pongezi hutapungukiwa na kitu.Umeona kutoa tu pongezi huwezi ukatafuta kijisababu cha kudiscredit usahihi wa utabiri wake.Ila sasa unaweza kuta huyu jamaa kama ALIBETI, utakuta ALIIPA YANGA USHINDI, akaiua Ihefu…!!! Ila humu aliandika MAONO SAHIHI…!!!
Hiki sio kipaji, bali ni ZALI TU…!!!!
Mkuu pokea maua yako kwa utabiri sahihi.Achana na huyo anaumia kwa usahihi wa ulichokitabiri.Haya bhana
Ahsante MkuuMkuu pokea maua yako kwa utabiri sahihi.Achana na huyo anaumia kwa usahihi wa ulichokitabiri.
Ameeeen.
NAKAZIA.Nguvu mojaa.......Ni suala la Muda TU huyu huyu robertinho mnayemchukulia poa atawashangaza wengiii Hasa kwenye mashindano ya kimataifa....tunaanza tar 20/10
si bure, una shida sehemu.Tatizo la SIMBA ni UONGOZI MBOVU na Aina ya Wachezaji WANAO Wasajili.
Hawa wachezaji wawili WA Mo wamesajiliwa kwa LENGO la WIZI na Upigaji
1. Miquisson WA nini Leo Simba.
2. AYOUB anamtafuta nini Simba?
Wachezaji wenye viwango vidogo wengine ni kama Ifuatavyo.
3. Essomba Onana.
4. Sadio Kanute.
5. Saido Ntibazonkiza.
6. Aubin Kramo
Hawa ni wachezaji Mizigo waliosajiliwa na Uongozi siku za Karibuni.
DaaaahNAKAZIA.
Hadi dua!Ameeeen.
JE, unalo la kusema?Yaani unataka Yanga ifungwe na ihefu halafu Simba wajichukulie points zote 3 kwa prisons. Sasa kaa vizuri kusubiri matokeo ya utabiri wako.
Ungejikita kuzungumzia performance ya Simba na tinho wake ingependeza zaidi
Mchawi wapi jamaa mpuuzi tu, kaona first 11 akajua hamna kitu watafanya ndipo akajidai kuanzisha uzi. Alitakiwa atoe utabiri siku 2 kabla!We jamaa mchawi
Sasa upuuIi wangu ni nnMchawi wapi jamaa mpuuzi tu, kaona first 11 akajua hamna kitu watafanya ndipo akajidai kuanzisha uzi. Alitakiwa atoe utabiri siku 2 kabla!
OhoooooLazima Robetinhio afukuzwe! Hafiki mbali!