Kelele za 'Robertinho atimuliwe' kuisha wiki hii

Kelele za 'Robertinho atimuliwe' kuisha wiki hii

Yaani unataka Yanga ifungwe na ihefu halafu Simba wajichukulie points zote 3 kwa prisons. Sasa kaa vizuri kusubiri matokeo ya utabiri wako.

Ungejikita kuzungumzia performance ya Simba na tinho wake ingependeza zaidi
OIG (13).jpeg
 
Naona utabiri wako unaelekea kutimia. Ukijumlisha na madudu ya Garmond ya kupanga kikosi kisichoeleweka, hakika kelele zote zitaisha.
Katika hili unastahili pongezi. Kelele zote za kumkataa Robertinho ndiyo zimeishia leo.

Na baada ya hapa tunasubiria tu kelele zote kuhamia kwenye ushindi wa Ihefu! Ihefu imepiga kwenye mshono! Ihefu ndiyo mbabe wa Yanga, nk. Na hawa ndiyo mashabiki wengi wa simba na Yanga walivyo. Siku zote wanaendeshwa na matukio na mihemko.
Mkuu leo umeweka unazi pembeni umeongelea uhalisia.
 
Mbona hata huyu GENTAMYCINE huwa anatoa tips za namna hiyo na nyingine zinatokea kama alivyosema?

Mimi nimefatilia threads zake nyngi zimetimia kwa usahihi, na chache kwenda kinyume. Mbona hata mechi ya Simba vs Power Dynamos alisema game ingekuwa ngumu sana na pengine Mnyama akafa? Na kweli ikawa almanusra.

Unasema ana story za umbea na za kutunga: mbona ishu ya uongozi wa Azam kutaka kuzamisha jahazi la Simba mbele ya Power Dynamos (hujuma) karibu kila Mwanasimba analijua na analaani (fatilia mitandaoni)? Na hili jambo GENTAMYCINE alilisema mapema na akatoa tahadhari kwa uongozi wa Simba.
Kuna muda analetaga madini ila kuna muda yupo kama vile kakurupushwa
 
Huu ni zaidi ya unabii, hongera Kwa kipaji hiki@

Ila sasa unaweza kuta huyu jamaa kama ALIBETI, utakuta ALIIPA YANGA USHINDI, akaiua Ihefu…!!! Ila humu aliandika MAONO SAHIHI…!!!

Hiki sio kipaji, bali ni ZALI TU…!!!!
 
Ila sasa unaweza kuta huyu jamaa kama ALIBETI, utakuta ALIIPA YANGA USHINDI, akaiua Ihefu…!!! Ila humu aliandika MAONO SAHIHI…!!!

Hiki sio kipaji, bali ni ZALI TU…!!!!
Haya bhana
 
Ila sasa unaweza kuta huyu jamaa kama ALIBETI, utakuta ALIIPA YANGA USHINDI, akaiua Ihefu…!!! Ila humu aliandika MAONO SAHIHI…!!!

Hiki sio kipaji, bali ni ZALI TU…!!!!
Hebu mpe mwenzio pongezi hutapungukiwa na kitu.Umeona kutoa tu pongezi huwezi ukatafuta kijisababu cha kudiscredit usahihi wa utabiri wake.
 
Cha ajabu ni kwamba kama Yanga wangeshinda didi ya Ihefu, kelele za Robertinho kufukuzwa zingeendelea regardless ya matokeo ya Simba.
 
Tatizo la SIMBA ni UONGOZI MBOVU na Aina ya Wachezaji WANAO Wasajili.

Hawa wachezaji wawili WA Mo wamesajiliwa kwa LENGO la WIZI na Upigaji
1. Miquisson WA nini Leo Simba.
2. AYOUB anamtafuta nini Simba?

Wachezaji wenye viwango vidogo wengine ni kama Ifuatavyo.

3. Essomba Onana.
4. Sadio Kanute.
5. Saido Ntibazonkiza.
6. Aubin Kramo

Hawa ni wachezaji Mizigo waliosajiliwa na Uongozi siku za Karibuni.
si bure, una shida sehemu.
 
Back
Top Bottom