Clever505
JF-Expert Member
- Jul 27, 2020
- 1,183
- 2,256
Ninalo mzee, sikosi la kusemaJE, unalo la kusema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninalo mzee, sikosi la kusemaJE, unalo la kusema?
Mkuu hujatambua tu. Wapiga kelele wengi Yanga na Simba ni wale wanaobeti matokeo.Kutokana na kukamiwa kupita kiasi, ni dhahiri Yanga wanaenda kuangusha points mbele ya Ihefu. Aidha, kutokana na udhaifu wa Tanzania prisons, Simba wako likely kujikusanyia points zote tatu na kuongoza msimamo wa ligi.
Ikiwa hii itatokea, natarajia mabadiliko makubwa ya siasa za mpira wa bongo this week. Kubwa zaidi ni kupungua kwa kelele za mashabiki wa Simba za kutaka kocha wao atimuliwe. Hali hii itachangizwa zaidi na mentality ya mashabiki wa hizi timu hizi mbili kuhusanisha mafanikio ya timu moja 'in relation to' hali ya timu nyingine.
Ngoja tuone
OooohMkuu hujatambua tu. Wapiga kelele wengi Yanga na Simba ni wale wanaobeti matokeo.