sodoliki JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,593 Reaction score 2,019 Apr 27, 2012 #1 jamani nina mgonjwa mahututi na kila nusu saa kingora cha escort, mgonjwa hapumziki, hawa viongozi hawajui kuwa maisha ya raia yako hatarini
jamani nina mgonjwa mahututi na kila nusu saa kingora cha escort, mgonjwa hapumziki, hawa viongozi hawajui kuwa maisha ya raia yako hatarini
vicent tibaijuka JF-Expert Member Joined Mar 22, 2012 Posts 268 Reaction score 59 Apr 27, 2012 #2 pole, nenda muhimbili hutavisikia