Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Miaka kadhaa huko nyuma niliisafiria kumfata baby wangu, ilikua ni kipindi cha joto balaa.... baada ya msosi kajioni flani hivi tukazama Lodge sasa kufanya kilichonileta, hata hatujaanza next room tukasikia kilio tukaanza kusikiliza kwanza, kilio kinachanganyia tu kama gari lapanda mlima, aseeeee mwanamke alikua analia yuleeee ikabidi tukae tu kuwasikiliza wao, tukazima na feni kabisa miili inasweat, joto balaa bize kusikiliza anavolizwa....ila kilikua ni kilio cha wizi.Mpaka nimeona aibu pale mapokezi
Mida ya kukabidhi chumba saa nne niliwahi kukaa mlangoni nimuone huyo shababi wa kike alielia usiku kucha. Usikute ndio mlikua nyie.