Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Kauziwa kelele 😂Jamaa kauziwa kelele....
Ila watu mna maneno 🤣🤣🤣🤣viuno vya mjusi hahahaa😂😂😂 Kujiona mwambaaaa kumbe makolokocho tu viuno vya mjusi
Kula kimasiharaMa RC ndo watu gani Mkuu??.
😂😂😂Wanawake mbarikiwe na kelele zenu za wizi mnaokoa wengi sana kisaikolojia
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Katika dunia hii, kuna wengine wakiona gari wanafikiri ni tembo; hii ni kutokana na mazingira waliopoBreakfast
Jamaa kauziwa kelele....
Wanasema kazi na dawa mkuuNgono! Ngono! Ngono! every where, everyday!
Za miaka tele, umejichimbia au upo kivingine??😁Kauziwa kelele 😂
Sana tuWikiendi iliyopita nilipata mualiko kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani; nami nikafunga safari na kueleka mkoani. Baada ya kufika, nikatafuta 'lodge' iliyonipendeza, nikalipia chumba kwa ajili ya mapumziko. Kwa sababu nilikuwa bado sijala, nikaweka oda ya chakula, kitimoto rosti, ndizi, matunda, na
OkKula kimasihara
Sahivi utakua na hela kuliko hiyo zamani....Alikuwa nazo kiasi, ila kwa sasa ndio zimezidi
Mkuu umepgwa alkua anaigza huyo [emoji16][emoji16]Wikiendi iliyopita nilipata mualiko kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani; nami nikafunga safari na kueleka mkoani. Baada ya kufika, nikatafuta 'lodge' iliyonipendeza, nikalipia chumba kwa ajili ya mapumziko. Kwa sababu nilikuwa bado sijala, nikaweka oda ya chakula, kitimoto rosti, ndizi, matunda, na bia mbili. Baada ya kuweka oda, nikaenda kuoga ili kupunguza uchovu. Nilipotoka bafuni, ndipo wakaniletea vyakula nilivyoagiza na kuanza kula