Kelele za wadada nyumba za wageni zinaaibisha

Ha ha ha yakweli mkuu
Kama ni kweli anapiga makelele kiasi hicho, basi akirudi tena baada ya huo muda wa saa 1 aliokuaga, jaribu kumrekodi hayo makelele yake kwa kutumia simu yako halafu utuwekee hapa jukwaani ili tuweze kuamini.

Narudia tena urekodi hayo makelele yake tu! Sawa? Halafu unatuwekea tusikie na sisi.
 
Kuna siku nilipata dili mkoani Mwanza, nikalala hotel flan hivi hapo town, mida ya sa tatu hiv naperuz simu yangu nikasikia kelele chumba kinachonifuata, nakufaa! nakufaaa! unaniua Doni, nikastuka maana ni sauti ya kike nikaenda mapokez nikamwambia mdada wa mapokez chumba namba 30 kuna usalama kweli maana nasikia mtu anapiga kelele 'anakufa huko' , dada wa mapokez akaninijibu hata wao siku ya kwanza walijua mtu anauliwa waliendaga kuwagongea kumbe yalikuwa mayoe ya mahaba na sio kifo tunachokijua.. nilichoka nikaenda zangu kulala tu.
 
NAMI Nilijuwa nipo Mwanza Kwenye Semina.
Tena nilikuwa chumba Na. 28 nimeboreka nimetulia tuh mbona tulipishana kwenye korido hukunisemesha wakat ulikuwa mwenyewe tuh!!
Wanaume mnakwama wapi jaman?
 
NAMI Nilijuwa nipo Mwanza Kwenye Semina.
Tena nilikuwa chumba Na. 28 nimeboreka nimetulia tuh mbona tulipishana kwenye korido hukunisemesha wakat ulikuwa mwenyewe tuh!!
Wanaume mnakwama wapi jaman?

Mkuu ulikuwa unahitaji mkuyenge hio siku???

Wanawake wenzio huwa wanasema siku hizi,,, ulikwama wapi?
 
Kweli Mwanamke akipigwa kisawasawa pipe huwa hawapigi makelele ya sauti ya juu...huwa wanasikilizia na miguno na sauti za chini au kati....HUYO KAKUPIGA
 
NAMI Nilijuwa nipo Mwanza Kwenye Semina.
Tena nilikuwa chumba Na. 28 nimeboreka nimetulia tuh mbona tulipishana kwenye korido hukunisemesha wakat ulikuwa mwenyewe tuh!!
Wanaume mnakwama wapi jaman?
Nilikusalimia ila ukanichunia...
 
[emoji28]
 
Ni janja janja tuu inakua
 
Tumalizie part 2, alirudi au ? Na aliporudi alilala au aliondoka tena na je wakati huo aliendelea na kelele au?
 
🤣🤣🤣 unaweza ukashindwa kutembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…