Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #81
πππ mkuu na wewe ulitakiwa utafute chombo, nacho kianze kuwapigia keleleKuna siku nilipata dili mkoani Mwanza, nikalala hotel flan hivi hapo town, mida ya sa tatu hiv naperuz simu yangu nikasikia kelele chumba kinachonifuata, nakufaa! nakufaaa! unaniua Doni, nikastuka maana ni sauti ya kike nikaenda mapokez nikamwambia mdada wa mapokez chumba namba 30 kuna usalama kweli maana nasikia mtu anapiga kelele 'anakufa huko' , dada wa mapokez akaninijibu hata wao siku ya kwanza walijua mtu anauliwa waliendaga kuwagongea kumbe yalikuwa mayoe ya mahaba na sio kifo tunachokijua.. nilichoka nikaenda zangu kulala tu.
Ungemsemesha nanyi muanze kupiga keleleNAMI Nilijuwa nipo Mwanza Kwenye Semina.
Tena nilikuwa chumba Na. 28 nimeboreka nimetulia tuh mbona tulipishana kwenye korido hukunisemesha wakat ulikuwa mwenyewe tuh!!
Wanaume mnakwama wapi jaman?
Maradhi mengi mkuu, tembea na unayemwaminiMkuu hii imekaa kama KADI YA MWALIKO hivi...
You get it?,,
If you don't get it, forget about it.
Wengine wanatoa yote, ni sawa na wale wanaotoa maji mengi na wengine hawatoi majiNa ile miguno ndo huja automatic utamu ukikolea sio makelele!!!
Alirudi, na alikesha mpaka asubuhi, na mikunjo ilikuwa ni ya kila namna.Tumalizie part 2, alirudi au ? Na aliporudi alilala au aliondoka tena na je wakati huo aliendelea na kelele au?
EntertainmentNaonaga story zake zimejaa uongo uongo
Chai ya jioniWikiendi iliyopita nilipata mualiko kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani; nami nikafunga safari na kueleka mkoani. Baada ya kufika, nikatafuta 'lodge' iliyonipendeza, nikalipia chumba kwa ajili ya mapumziko. Kwa sababu nilikuwa bado sijala, nikaweka oda ya chakula, kitimoto rosti, ndizi, matunda, na bia mbili. Baada ya kuweka oda, nikaenda kuoga ili kupunguza uchovu. Nilipotoka bafuni, ndipo wakaniletea vyakula nilivyoagiza na kuanza kula taratibu. kutokana na uchangamfu wangu, hapo 'lodge' wakawa wamenizoea kwa muda mfupi.
Baada ya kama dakika 20, mwenyeji wangu ndipo akanipigia simu, 'nimeshafika nielekeze chumba ulichofikia' ; nikamwambia ingia hapo mapokezi na wakulete chumba namba 207, baada ya kama dakika chache hivi akawa amefika; ile kumuona tu, na namna alivyovaa nguo za kimitego, ukichangia na chura aliyonayo pamoja na uzuri; nilijiona leo nafaidi utamu wote wa dunia.
Baada ya kusalimiana huku tukiwa tumeshikana, ghafla tukajikuta tupo ulimwengu mwingine; kelele zilivyokuwa zinatoka humo ndani, hadi watu wa nje, mapokezi walikuwa wanasikia; mbaya zaidi anakuwa anataja jina langu ambalo ndio nimeliandikisha pale mapokezi; mchaka mchaka umeendelea kwa muda mrefu huku akipiga makelele tu,najaribu kumzuia kwa kumziba mdomo wapi, anaendelea tu kupiga kelele; nikajisema kimoyo moyo nikisikiliza kelele zake hapa pamoja na kuogopa watu wanaosikia kelele, mzee atalala na sitafaidi kilichonileta.
Nikamuacha aendelee kupiga kelele, ingawa kwenye koldo kuna miguu ilikuwa inatembea tembea lakini mi sikuogopa; baada ya zoezi kuisha, wote mwili ni jasho kama vile tumemwagiwa maji, ingawa AC ilikuwepo. Tukatazamana na kucheka tu.
Baada ya muda akasema aende nyumbani mara moja, halafu baada ya lisaa 1 atarudi, nikamkubalia; Alipoondoka tu, nikasema ngoja nitoke nje niangalie kidogo mazingira; ile kutoka tu, kila mmoja ananiangalia; nikawa najiuliza tatizo ni nini...nikajua inawezekana zile kelele wamezifanya kama 'agenda'. Nikajikausha tu, kama hakuna kilichotokea nikasogelea kaunta na kuendeleza kupiga bia.
Wakuu, mlishakutana na hali hii? Na ulijisikiaje?
Yanatokea, Yametokea,na Yataendelea kutokea (3Y)Chai ya jioni
Hahahahahaha kumbe nilikubamba janaEntertainment
Ndio wanatoa yote lakini waigizaji wengi hupenda kutumia sauti/makelele kuliko migunoWengine wanatoa yote, ni sawa na wale wanaotoa maji mengi na wengine hawatoi maji
Nakubaliana nawe, matapeli pia wapoNdio wanatoa yote lakini waigizaji wengi hupenda kutumia sauti/makelele kuliko miguno
Imetokea mkuuHahahahahaha kumbe nilikubamba jana
Zamani alikuwa anapiga kelele?Wikiendi iliyopita nilipata mualiko kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani; nami nikafunga safari na kueleka mkoani. Baada ya kufika, nikatafuta 'lodge' iliyonipendeza, nikalipia chumba kwa ajili ya mapumziko. Kwa sababu nilikuwa bado sijala, nikaweka oda ya chakula, kitimoto rosti, ndizi, matunda, na bia mbili. Baada ya kuweka oda, nikaenda kuoga ili kupunguza uchovu. Nilipotoka bafuni, ndipo wakaniletea vyakula nilivyoagiza na kuanza kula taratibu. kutokana na uchangamfu wangu, hapo 'lodge' wakawa wamenizoea kwa muda mfupi.
Baada ya kama dakika 20, mwenyeji wangu ndipo akanipigia simu, 'nimeshafika nielekeze chumba ulichofikia' ; nikamwambia ingia hapo mapokezi na wakulete chumba namba 207, baada ya kama dakika chache hivi akawa amefika; ile kumuona tu, na namna alivyovaa nguo za kimitego, ukichangia na chura aliyonayo pamoja na uzuri; nilijiona leo nafaidi utamu wote wa dunia.
Baada ya kusalimiana huku tukiwa tumeshikana, ghafla tukajikuta tupo ulimwengu mwingine; kelele zilivyokuwa zinatoka humo ndani, hadi watu wa nje, mapokezi walikuwa wanasikia; mbaya zaidi anakuwa anataja jina langu ambalo ndio nimeliandikisha pale mapokezi; mchaka mchaka umeendelea kwa muda mrefu huku akipiga makelele tu,najaribu kumzuia kwa kumziba mdomo wapi, anaendelea tu kupiga kelele; nikajisema kimoyo moyo nikisikiliza kelele zake hapa pamoja na kuogopa watu wanaosikia kelele, mzee atalala na sitafaidi kilichonileta.
Nikamuacha aendelee kupiga kelele, ingawa kwenye koldo kuna miguu ilikuwa inatembea tembea lakini mi sikuogopa; baada ya zoezi kuisha, wote mwili ni jasho kama vile tumemwagiwa maji, ingawa AC ilikuwepo. Tukatazamana na kucheka tu.
Baada ya muda akasema aende nyumbani mara moja, halafu baada ya lisaa 1 atarudi, nikamkubalia; Alipoondoka tu, nikasema ngoja nitoke nje niangalie kidogo mazingira; ile kutoka tu, kila mmoja ananiangalia; nikawa najiuliza tatizo ni nini...nikajua inawezekana zile kelele wamezifanya kama 'agenda'. Nikajikausha tu, kama hakuna kilichotokea nikasogelea kaunta na kuendeleza kupiga bia.
Wakuu, mlishakutana na hali hii? Na ulijisikiaje?
Alikuwa anapiga kelele ila kwa sasa zilizidi zaidiZamani alikuwa anapiga kelele?
Kama ni hapana ulipigwa
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Acha kuoa
Kama upo hivo, you deserve π..πππ njaa tu + ubahili
Tufaidi wote, hela za nini tena?Kama upo hivo, you deserve π..
View attachment 2021014
Chuma Kama chumaWikiendi iliyopita nilipata mualiko kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani; nami nikafunga safari na kueleka mkoani. Baada ya kufika, nikatafuta 'lodge' iliyonipendeza, nikalipia chumba kwa ajili ya mapumziko. Kwa sababu nilikuwa bado sijala, nikaweka oda ya chakula, kitimoto rosti, ndizi, matunda, na