Kelele za wahuni wa CCM na Zitto kumchafua hayati JPM zimeishia wapi? Walidhania watanzania ni wajinga?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
From nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu?

Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine wengi.

Na mpaka sasa mmeshajipaka matope kwa wananchi, na majibu ya uovu wenu dhidi ya watanzania mtayapata.
 
Waolewa ubelgiji na Canada wameambulia aibuuu
 
Msikilize Peter Serukamba- anasema hakuna tena ubabe wala kubambikizana watu kesi.

Msikilize Warioba- Anasema uchaguzi wa 2020 ulikuwa ni aibu.

Hii ndio legasi unayotetea ama?
Hukuwaelewa vizuri
 
From nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu?

Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine wengi.

Na mpaka sasa mmeshajipaka matope kwa wananchi, na majibu ya uovu wenu dhidi ya watanzania mtayapata.
Shetani alipewa cheo
 
Jitu jiuaji halafu unasema wanalichafua. Lilikufa limejichafua kwa mauaji, kubambika watu kesi za uongo, kupoteza watu , kuua, kuteka etc etc etc
 
Umelianzisha mwenyewe.Tukianza kuipopoa "regase" usibane miguu na kukimbia.
 
Jitu jiuaji halafu unasema wanalichafua. Lilikufa limejichafua kwa mauaji, kubambika watu kesi za uongo, kupoteza watu , kuua, kuteka etc etc etc
Mbona unaropoka hovyo kama unaharisha?
 
From nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu?

Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine wengi.

Na mpaka sasa mmeshajipaka matope kwa wananchi, na majibu ya uovu wenu dhidi ya watanzania mtayapata.
Mchafu hachafuki. Magufuli alikwishachafuka muda mrefu kwa kumiliki kikundi haramu ndani ya Serikali maarufu kama "wasiojulikana". Na washirika wakubwa wakiwa Paul Makonda, Ole Sabaya, Musalika Makungu nk.

Tuliwaonya sana kuwa Magufuli siyo Mungu, iko siku hatakuwa madarakani na ukweli utawekwa wazi. Ule wakati ndiyo huu sasa
 
Nyankurungu2020 basi mtukane na huyo!
 
Msikilize Peter Serukamba- anasema hakuna tena ubabe wala kubambikizana watu kesi.

Msikilize Warioba- Anasema uchaguzi wa 2020 ulikuwa ni aibu.

Hii ndio legasi unayotetea ama?
Jamaa wa hia anasota na nini????
 
Back
Top Bottom