Kelele za wahuni wa CCM na Zitto kumchafua hayati JPM zimeishia wapi? Walidhania watanzania ni wajinga?

Kelele za wahuni wa CCM na Zitto kumchafua hayati JPM zimeishia wapi? Walidhania watanzania ni wajinga?

JPM alikuwa mtu na nusu kwny miradi ya maendeleo
 
Yule mzee acha tu apumzike kwa amani ila kwa muda mfupi sana kafanya makubwa.

Ingawa kuna wanaomdhihaki ila kafanya mambo ambayo kwakweli sio kila anayepata nafasi kama yake alifanya.
 
Jembe ni maji marefu pamoja na kuwa Israel alilitwaa,waganga njaa hawataliweza.
UN wenyewe walinyoosha mikono sembuse na hawa wezi uchwara.
 
Waolewa ubelgiji na Canada wameambulia aibuuu
Upo sahihi kabisa kwani nchi ina akiba ya dollar za marekani bilioni 6,253. Lazima waone aibu kwani nchi haidaiwi tena Kama alivyosema ndugai!
Huu ni mwanzo wa mwaka ujue!
 
Upo sahihi kabisa kwani nchi ina akiba ya dollar za marekani bilioni 6,253. Lazima waone aibu kwani nchi haidaiwi tena Kama alivyosema ndugai!
Huu ni mwanzo wa mwaka ujue!
Ulimi hauna mfupa
 
Acha kelele wewe mtetea legacy kibaraka wa pombe
 
Msikilize Peter Serukamba- anasema hakuna tena ubabe wala kubambikizana watu kesi.

Msikilize Warioba- Anasema uchaguzi wa 2020 ulikuwa ni aibu.

Hii ndio legasi unayotetea ama?
Aaaaaiiiseee! Ila Sabaya na Bashite na ******** Mungu anawaona. Wacha funza wafaidi kwanza.
 
Mbona unaropoka hovyo kama unaharisha?
Magufuli hakufaa kuwa raisi wa Tanzania. Angepanda cheo sana angeishia kuwa PM! Unampaje uraisi mtu asiyekuwa na akili TIMAMU???
Magufuli amewaua
Ben Sanane.
Anzory Gwanda
Alphonso mawazo
Akwilin
Alipeleka jeshi kwenda kuua ndugu zetu huko MKIRU.
Anayelikumbuka lile dubwasha labda Msukuma mwenzie.
Tanzania siyo military state
 
Mchafu hachafuki. Magufuli alikwishachafuka muda mrefu kwa kumiliki kikundi haramu ndani ya Serikali maarufu kama "wasiojulikana". Na washirika wakubwa wakiwa Paul Makonda, Ole Sabaya, Musalika Makungu nk.

Tuliwaonya sana kuwa Magufuli siyo Mungu, iko siku hatakuwa madarakani na ukweli utawekwa wazi. Ule wakati ndiyo huu sasa
Sabaya kaka 30 huko
 
Back
Top Bottom