Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Waolewa ubelgiji na Canada wameambulia aibuuuFrom nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu?
Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine wengi.
Na mpaka sasa mmeshajipaka matope kwa wananchi, na majibu ya uovu wenu dhidi ya watanzania mtayapata.
Hukuwaelewa vizuriMsikilize Peter Serukamba- anasema hakuna tena ubabe wala kubambikizana watu kesi.
Msikilize Warioba- Anasema uchaguzi wa 2020 ulikuwa ni aibu.
Hii ndio legasi unayotetea ama?
Shetani alipewa cheoFrom nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu?
Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine wengi.
Na mpaka sasa mmeshajipaka matope kwa wananchi, na majibu ya uovu wenu dhidi ya watanzania mtayapata.
Tafuta hizo clip sikiliza.Kulikuwa na mengi ya ovyo.Hukuwaelewa vizuri
Kipi Warioba alishindwa kura za maoniTafuta hizo clip sikiliza.Kulikuwa na mengi ya ovyo.
Husussani la vurugu za uchaguzi lilikuwa toooo much.
Jitu jiuaji halafu unasema wanalichafua. Lilikufa limejichafua kwa mauaji, kubambika watu kesi za uongo, kupoteza watu , kuua, kuteka etc etc etcFrom nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu?
Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine wengi.
Na mpaka sasa mmeshajipaka matope kwa wananchi, na majibu ya uovu wenu dhidi ya watanzania mtayapata.
Umelianzisha mwenyewe.Tukianza kuipopoa "regase" usibane miguu na kukimbia.From nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu?
Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine wengi.
Na mpaka sasa mmeshajipaka matope kwa wananchi, na majibu ya uovu wenu dhidi ya watanzania mtayapata.
Mbona unaropoka hovyo kama unaharisha?Jitu jiuaji halafu unasema wanalichafua. Lilikufa limejichafua kwa mauaji, kubambika watu kesi za uongo, kupoteza watu , kuua, kuteka etc etc etc
#kataa wahuniUmelianzisha mwenyewe.Tukianza kuipopoa "regase" usibane miguu na kukimbia.
Kwa hiyo hamtaki watu wamseme "maliyemu" wenu?Mnataka muendelee kupewa pole kama kisichana cha uswahilini kilichoachwa na bwana wake?#kataa wahuni
Mchafu hachafuki. Magufuli alikwishachafuka muda mrefu kwa kumiliki kikundi haramu ndani ya Serikali maarufu kama "wasiojulikana". Na washirika wakubwa wakiwa Paul Makonda, Ole Sabaya, Musalika Makungu nk.From nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu?
Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine wengi.
Na mpaka sasa mmeshajipaka matope kwa wananchi, na majibu ya uovu wenu dhidi ya watanzania mtayapata.
sawa lakini nashukuru msg delivered! Kama mnaweza kumtusi Mungu wenu Ndugai, sembuse mimiMbona unaropoka hovyo kama unaharisha?
Nyankurungu2020 basi mtukane na huyo!Mchafu hachafuki. Magufuli alikwishachafuka muda mrefu kwa kumiliki kikundi haramu ndani ya Serikali maarufu kama "wasiojulikana". Na washirika wakubwa wakiwa Paul Makonda, Ole Sabaya, Musalika Makungu nk.
Tuliwaonya sana kuwa Magufuli siyo Mungu, iko siku hatakuwa madarakani na ukweli utawekwa wazi. Ule wakati ndiyo huu sasa
Jamaa wa hia anasota na nini????Msikilize Peter Serukamba- anasema hakuna tena ubabe wala kubambikizana watu kesi.
Msikilize Warioba- Anasema uchaguzi wa 2020 ulikuwa ni aibu.
Hii ndio legasi unayotetea ama?