"Kelele za wanafiki ndizo zilizonifanya Nimvulie chupi Bosi wangu".....Baby Madaha

"Kelele za wanafiki ndizo zilizonifanya Nimvulie chupi Bosi wangu".....Baby Madaha

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Msanii huyo filamu na muziki kutoka Tanzania Baby Joseph Madaha, ameiambia Global kuwa mwanzoni yeye na Kariuki hawakuwa na uhusiano wa kimapenzi zaidi ya kazi, ila kutokana na watu kuanza kuongea kitu ambacho hakipo ndio kilichopelekea kuamua kufanya kweli..
1.jpg



“Kusema kweli huyu kaka kanikoleza jamani japo watu watachonga mengi lakini abadani sitosikiliza maneno yao, kwa kuwa awali sikuwa na uhusiano naye ila porojo za watu zilipelekea kuchukua maamuzi hayo, natamani nihamie Kenya ili tuwe karibu wakati wote,”alisema Baby Madaha.


Novemba 5 mwaka huu Baby Madaha alizikana tetesi zilizokuwepo wakati huo za uhusiano kati yake na Kariuki.





“Joe amesikia na hajapenda hili swala kwasababu sisi tupo kikazi zaidi na siyo mambo mengine kama wasemavyo wao”, alisema Madaha katika mahojiano hayo.


Madaha pia ameongeza kuwa ameamua kuwa na Kariuki kutokana na upendo anaomuonesha na si uwezo wa kipesa kama wengi wanavyodhani
 
kumbe ndo maana analeta nyodo sababu anatembea na boss lake.Ila huyu mdada mhh
 
kumbe ndo maana analeta nyodo sababu anatembea na boss lake.Ila huyu mdada mhh

pesa za boss wake zinampa jeuri ya kuongea,atatumika siku si nyingi atabwaga
 
Afadhali nilidhani na leo unamuongelea Diamond duu maana nilikuwa nimejipanga balaa
 
Afadhali nilidhani na leo unamuongelea Diamond duu maana nilikuwa nimejipanga balaa

Haaahaa mm nlijua ivo pia nlijipanga uwiiiiii acha 2 kumbe katoa papuchi kwa bosi wake mtoto ana mbwe2 uyu mpk kero
 
Haaahaa mm nlijua ivo pia nlijipanga uwiiiiii acha 2 kumbe katoa papuchi kwa bosi wake mtoto ana mbwe2 uyu mpk kero

Na kinyaa juu...!sasa atamuita boss au mpenzi..???????what a shame..!!!!
 
Siku hizi wanautafuta umaarufu kwa skendo za ngono.!!
 
anatafuta kick for her soon - to- be- released album na hivyo vi perfume!sasa pa kumrusha kwa sauti kubwa ni kwa domo since dogo ''magazeti yanampenda''...(au wanapendana)!

aendelee tu kutoa ''kazi'' kwa boss wake bila kumhusisha domo aone balaa lake!!
 
Hajajua wanaume vizuri huyu ngoja ngoja agegedwe halafu jamaa atafute kipotabo hili bagadu atupe jalalani,jeuri yake itaishia hapo
 
Waaaaiiiii kumbe kelele zote zile ni chakula ya bosi? Mmhhh
 
Mbona mimi hanirushi!!!??? Au sababu sina pesa?
 
Back
Top Bottom