Kelele za wananchi wazalendo zamleta hadharani Makamu wa Rais. Lakini bado twajiuliza; ni sahihi kiongozi wa nchi kuishi nje mwezi bila taarifa rasmi?

Kelele za wananchi wazalendo zamleta hadharani Makamu wa Rais. Lakini bado twajiuliza; ni sahihi kiongozi wa nchi kuishi nje mwezi bila taarifa rasmi?

Asipoonekana maneno, ameonekana maneno Sasa wanadam mnataka Nini?
Tunataka kuona kiongozi wetu yoyote mkubwa wa nchi hii kabla hajaondoka kwenda safarini nje ya nchi atuage, asiondoke kimya kimya na kutufanya sisi wananchi tuanze kumtafuta ili kujua yuko wapi.

Uongo ulianza awamu ya 5 na baba wa uongo ni yule mwendawazimu ws chato.

Kuna siku aliwahi kusema kuna mtu alimtuma kwa matibabu nje! Sasa wewe mtu anatumwa kwenda kutibiwa?

Kassim Majaliwa , Magufuli ni mzima anachapa kazi March 13, 2021

Samia Machi 17,2021 .Magufuli alilazwa tangu Machi 6,2021.

Nani hapo mkweli nani tuanze kumfunga kwanza ndio tuje kwa suala la Mpango.
 
Back
Top Bottom