ni kweli inaniuma saana saana, maana mnakula kodi za wananchi huku hakuna input yoyote zaidi ya wizi na kutia nchi hasara kila kukicha, unajitamba kabisa wakati kila siku nchi yako inaomba misaada, huko mahospitalini ndugu zako hawana dawa, huko mahospitalini ndugu zako wanakaa chini huku wenzio tunakamuliwa kodi mtaani huku kila kukicha.....unasimama kabisa kujisifu kutumia hovyo hovyo hela za wananchi...