Andika ueleweke vizuriHEshima yenu wakuu.
Kuna kelele zinazosikika usiku huu karibu kinondoni makaburini mpaka kinondoni hananasifu yote..kelele hizi zinatokea kwenye msikiti.zilianza mapema saa tatu usiku na mpaka usiku huu mnene bado zinaendelea na kwakweli huwezi kulala.tunaomba msaada zisitishwe ikiwezekana tunaomba kupewa namba za NEMC ili tureport kero hii.
Makubwa... Hayo nayoHEshima yenu wakuu.
Kuna kelele zinazosikika usiku huu karibu kinondoni makaburini mpaka kinondoni hananasifu yote..kelele hizi zinatokea kwenye msikiti.
Hata kama ni dua lkn huwezi kupiga kelele za namna hii ambazo zinasikika kinondoni yooote na ni kero kweli kweli hata watoto wanashindwa kulala.na hapa ni mjini kabisa mamlaka zipo na hakuna zinachofanyaNipo mita chache kutoka lilipo tukio wakinyamaza ni kila nankurudi tena wanavosema ni dua ok fine lakini watuangalie na ss tunataka kupumzika wqtu mpk wqnalia kwenye spike huyu mufti msambaa kaja na vituko hapa bakwata
Ni zamu yetu mtuache..,..kelele za mamaHata kama ni dua lkn huwezi kupiga kelele za namna hii ambazo zinasikika kinondoni yooote na ni kero kweli kweli hata watoto wanashindwa kulala.na hapa ni mjini kabisa mamlaka zipo na hakuna zinachofanya
Wanamwombea mama dua?Ni zamu yetu mtuache..,..kelele za mama
Na bado, nyie SI mlikubali tamaduni za wageni. Ngoja wawanyooshe mpaka maji myaite mma.HEshima yenu wakuu.
Kuna kelele zinazosikika usiku huu karibu kinondoni nzima kuanzia makaburini mpaka kinondoni hananasifu mpaka kinondoni manyanya yote..kelele hizi zinatokea kwenye msikiti.zilianza mapema saa tatu usiku na mpaka usiku huu mnene bado zinaendelea na kwakweli huwezi kulala.tunaomba msaada zisitishwe ikiwezekana tunaomba kupewa namba za NEMC ili tureport kero hii.
Kauli za ki mwijaku hiziWanaume wa darisalam wakuda sana. Vikelele vya kitoyo tu unaandishia Uzi. Manina zeni wanadarisalaman
Wee Gudiledi,@good lady, hebu uwe na heshima na adabu kwa dini za wenzetu!,baada ya kujua ni sauti kutoka msikitini,then hizo ni sauti za dua maalum,maulid maalum au kisomo maalum,huwezi kuita kelele!,unapaswa kuita ni sauti kutoka msikitini na sio kuita kelele!。HEshima yenu wakuu.
Kuna kelele zinazosikika usiku huu karibu kinondoni nzima kuanzia makaburini mpaka kinondoni hananasifu mpaka kinondoni manyanya yote..
Kelele hizi zinatokea kwenye msikiti.zilianza mapema saa tatu usiku na mpaka usiku huu mnene bado zinaendelea na kwakweli huwezi kulala.tunaomba msaada zisitishwe ikiwezekana tunaomba kupewa namba za NEMC ili tureport kero hii.
Toa ujinga hata kama upo shambaWanaume wa darisalam wakuda sana. Vikelele vya kitoyo tu unaandishia Uzi. Manina zeni wanadarisalaman
Pia kuna uvumilivu wa kisiasa, yaani watu wanaiba kura na wala hawana wasiwasi, ukiwakosoa unatekwa na kupotezwa.Wee Gudiledi,@good lady, hebu uwe na heshima na adabu kwa dini za wenzetu!,baada ya kujua ni sauti kutoka msikitini,then hizo ni sauti za dua maalum,maulid maalum au kisomo maalum,huwezi kuita kelele!,unapaswa kuita ni sauti kutoka msikitini na sio kuita kelele!。
Maadam sio sauti za kila siku,Watanzania tumefunzwa kitu kinachoitwa religious tolerance,uvumilivu wa kidini na ustahilivu wa dini za wengine。
P