Kelvin Hart: Overrated standup comedian

Kelvin Hart: Overrated standup comedian

Hana kitu...mi nna collection ya stand ups najaza tera 1.....nkasema ngoja nitafte moja ya huyu bwama mdogo kevi maana skunying huwa simkubali..sasa zingne zoote nmeshaangalia nkasema aarg ngoja nichek mbili tatu...naona ananiboa tu
ukiwa haumkubali Mtu hauwezi kumwelewa...

we differ in taste..siyo unachokifeel wewe ndo tunachofeel wengine

thumb up for Kv
 
Unaweza kuwa sahihi kwa upande wa stand up comedy, lakin linapokuja swala la movie za comedy kevin hart ni habari nyingine mzee

Nenda kachek hiz movie then urud ufute neno "over rated" The upside, Night school, Central Intelligence na jumanji 2017
 
Kevin Hart ni kilaza sana. Ni kama kana mahoka, hakana tofauti na pilipili. Hata kwenye movie sijawahi mkubali.
 
Hakuna kitu. Hapo

Inaonekana ana management ya nguvu sana ila stand up hakuna kitu

Anaweza tumia dk5 watu hawajacheka...not only watu..mim mwenyew sjacheka

Sjui sabab nawaangalia sana ma legend
Eddie griffin,chris rock,richard prior,bernie mack,steve harvey etc

Anazingua...kama hii irresponsible show..ukumbi umefurika lakin anaongea ongea tu...hapo angekua eddie ingekua balaa

Wanambania eddie griffin sabab ana race jokes

vodoo child, freedom of speech, you cant tel them i said it, kusema ukweli kevin hafik hata robo ya eddie eddie hatari sana, yan hata kina dave chappelle kevinhawawez, kina cat williams ni hatari me nashindwa hata kuelewa huyu jamaa he is not funny at all...
 
Hyo list namchkua chris na dave tu ..naomba tafuta show za eddie griffin uone maajab au bernie mack

eddie ni nux sana nna standup commedy zake zote jamaa yupo natural sana ila tu sababu ya mambo ya ubaguzi na the N word ndio wanakuwa hawamchukui
 
Hakuna kitu. Hapo

Inaonekana ana management ya nguvu sana ila stand up hakuna kitu

Anaweza tumia dk5 watu hawajacheka...not only watu..mim mwenyew sjacheka

Sjui sabab nawaangalia sana ma legend
Eddie griffin,chris rock,richard prior,bernie mack,steve harvey etc

Anazingua...kama hii irresponsible show..ukumbi umefurika lakin anaongea ongea tu...hapo angekua eddie ingekua balaa

Wanambania eddie griffin sabab ana race jokes
He's just an American! Hata Trevor Noah anamzidi kwenye Stand up comedies!! Ila kwenye movie nampa gwara,he is a good actor!
 
Namkubali Chris Rock, Kelvin Hart hata mimi simuoni kama ni comedian mkali hata movie zake zina comedy za ajabu ajabu, tofauti na Chris rock sitosahau everybody hates Chris.
hahahaah, huku baba wa chriss akiwa Terry crews...huyu jmaa huwa namkubali swaga zake tu....hahahaha
 
hata mm hua najiuliza huyu jamaa kwann anaonekana kama comedian mkubwa wakati kuchekesha hajui!!!! angalia ile ZERO https://jamii.app/JFUserGuide.S GIVEN hamna kitu..... wababe wa hiii tasnia ni chriss rock/ tucker, trevor n.k
 
Back
Top Bottom