Kelvin John (Mbape) alimkosea nini coach Adel Amrouch?

Kelvin John (Mbape) alimkosea nini coach Adel Amrouch?

Kabisa hata bila mashabiki na baadhi ya Viongozi Wa nchi kupiga kelele Kule Morocco Zyechi asingeitwa timu ya Taifa sababu ya bifu za kijinga
Hawa wachezaji wasikie tuu wahuni kweli kwwli wanaweza kukugegedea mkeo au mtoto wako wa kike ukicheka nao
 
Alitaka kumwonyesha kocha anachokijua kiufundi toka huko ughaibuni yaani u- pro wake - yakamkutaa... 😛 😛

Next time atakuwa makini.
 
Kocha anasema mnamharibu kumuita Mbappe, Mbape ni Captain wa Team ya Taifa huyu Mbappe wetu vipi?
Unaumwa au lah kuingiza madem Kambini ni big NO.
 
dogo kapewa nafasi ya kuomba msamaha na kubadirika ila amekaza shingo

na hii inachangiwa na nyuzi kama hizi kumuonesha dogo ana umuhimu kumbe mavi tu

atulie watu wafanye kazi
Tanzania mtu akiwa bora mtapambana ashuke

Ni gani katenda yule mtoto lisilo zungumzika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makocha wanapaswa kuingiliwa maana muda mwingine wanakuwa na mihemko ambapo inapelekea kuligharimu taifa. Mfano kocha wa Ivory coast kumwacha Wilfried Zaha kama sio mihemko nini. Hakuna anaemzidi zaha kwenye kikosi cha Ivory coast ila kocha kamwacha. Ni kama huyu nae anamwacha Kelvin John sababu ni ipi hasa ?
Ali Kamwe anakuuliza "Zaha anamzidi Paccome?"
 
Makocha wanapaswa kuingiliwa maana muda mwingine wanakuwa na mihemko ambapo inapelekea kuligharimu taifa. Mfano kocha wa Ivory coast kumwacha Wilfried Zaha kama sio mihemko nini. Hakuna anaemzidi zaha kwenye kikosi cha Ivory coast ila kocha kamwacha. Ni kama huyu nae anamwacha Kelvin John sababu ni ipi hasa ?
Usikute aligoma kutoa rushwa

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom