Huyo kocha ni kiazi... Anawaacha vijana wataoisaidia timu mbeleni anachukua wazee na Diaspora ambao viwango vyao ni hovyoo. Tff na wizara waingilie kati naamini Kuna mkono wa rushwa kwa huyo kocha... Huwezi muacha Mzinze aliye kwenye top performance.