Kelvin Yondani : The Living Legend

Jembe sana Yondani, ivi mzee Mo hajamuoa? Arudi tu msimbazi [emoji3]
 
Ni fundi haswa alafu anamtoto mkariii
 
Unamaanisha Kelvin Yondan Mibangi aliemtemea mate Ahsante Kwasi wa Simba?
 
Yeah amekuwa na consistency sana huyu jamaa
 
Shida ya wabongo ndio hii.... Wepesi kushawishika kwa vitu vya kiseenge matokeo yake ndio tunaunda timu mbovu kuwah kutokea.....

Yondan ni wa kawaida saana, anaonekana game na ndanda .... Kashndwa kumdhibiti keita balde.... Si ujinga huu..


Tuwekage ushabiki kando tutoe comments za ukweli ili kufanikisha chaguz sahihi za wachezaji.

Haya mleta mada... Kipi cha pekee ambacho yondan pekee ndio anacho au kakifanya ambacho anastahil hadi kumwagiwa sifa zoote
 
Kwa iyo kipi cha kuigwa hapo kutoka kwake kwa mujibu wa andiko lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…