Kelvin Yondani : The Living Legend

Kelvin Yondani : The Living Legend

Jembe sana Yondani, ivi mzee Mo hajamuoa? Arudi tu msimbazi [emoji3]
 
Ni fundi haswa alafu anamtoto mkariii
Screenshot_20190703-211521-1.jpeg
 
Beki bora kwa miaka 10 iliyopita kwangu mimi ni Kelvin Yondani Cotton Injinia Vidic.

Licha ya umri kuanza kumtupa mkono sasa, Kelvin Yondani katika ubora wake alikuwa ni mwamba usiotikisika. Yondani anaweza akacheza mpira wa kutumia akili pia Yondani anaweza akacheza mpira wa nguvu na ubabe.

Amekuwa tishio kwa washambuliaji wengi nchini hata kwa marefa ambao wamekuwa wakimuogopa kumpa kadi pale anapocheza undava. Kwangu mimi beki unatakiwa uwe katika kariba ya Yondani.

Yondani ana ball control, anajua kupoza mashambulizi, anajua kuusoma mchezo vizuri, anajua kuanzisha mashambulizi kutokea nyuma hasa kwa zile pasi zake ndefu zenye macho pia amekuwa akifunga magoli muhimu kwa timu yake. Kitu pekee alichoshindwa ni nidhamu.

Kelvin Yondani, beki bora wa kati kumshuhudia hasa baada ya zama za Victor Costa kuisha.

Kwako mdau, unamzungumziaje Yondani?

View attachment 1145198
Unamaanisha Kelvin Yondan Mibangi aliemtemea mate Ahsante Kwasi wa Simba?
 
Yeah amekuwa na consistency sana huyu jamaa
 
Shida ya wabongo ndio hii.... Wepesi kushawishika kwa vitu vya kiseenge matokeo yake ndio tunaunda timu mbovu kuwah kutokea.....

Yondan ni wa kawaida saana, anaonekana game na ndanda .... Kashndwa kumdhibiti keita balde.... Si ujinga huu..

Tuwekage ushabiki kando tutoe comments za ukweli ili kufanikisha chaguz sahihi za wachezaji.

Haya mleta mada... Kipi cha pekee ambacho yondan pekee ndio anacho au kakifanya ambacho anastahil hadi kumwagiwa sifa zoote
 
Kwa iyo kipi cha kuigwa hapo kutoka kwake kwa mujibu wa andiko lako
Kiukweli Kelvin ni mfano wa kuigwa kwa wachezaji wa Tanzania. Ni kweli kuwa ana madhaifu yake ikiwemo hasira inayosababisha utovu wa nidhamu muda mwingine. Lakini ukiangalia ni mchezaji aliyekaa kwenye kiwango kikubwa muda mrefu na hata sasa ana umri mkubwa kwa takwimu miaka 35 lakini bado ana nguvu. Hii inaonesha ni mchezaji anayejitunza na asiyekuwa na majivuno na kuridhika.
 
Back
Top Bottom