So Ramos akimtemea mtu mate inakua halali kwa Yondan?Hata Ramos alimtemea mate Iago aspas
Hakika mkuu. Tujenge utamaduni wa kusifiana tukiwa hai. Tusingoje mtu mpaka astaafu au afe ndio sifa zimiminike kwake.Ni vyema tunapolitaja jina la huyu bwana tusimame kuonesha heshima.
TATIZO KUBWA NI BANGI ALIZOANZA KUZIVUTA SHULE YA MSINGI HUKO MWANZA NA HAKUWAHI KUZIACHA MPAKA LEO.HATA AKIONGEA UNAJUA KABISA HUYU JAMAA BANGI IMETEKA UBONGO WAKE.NA BANGI NDO ILIATHIRI MPIRA WAKE KWA KIASI FULANI VINGINEVYO ANGEFIKIA LEVEL ZA KINA GEORGE MAGERE MASATU!Beki bora kwa miaka 10 iliyopita kwangu mimi ni Kelvin Yondani Cotton Injinia Vidic.
Licha ya umri kuanza kumtupa mkono sasa, Kelvin Yondani katika ubora wake alikuwa ni mwamba usiotikisika. Yondani anaweza akacheza mpira wa kutumia akili pia Yondani anaweza akacheza mpira wa nguvu na ubabe.
Amekuwa tishio kwa washambuliaji wengi nchini hata kwa marefa ambao wamekuwa wakimuogopa kumpa kadi pale anapocheza undava. Kwangu mimi beki unatakiwa uwe katika kariba ya Yondani.
Yondani ana ball control, anajua kupoza mashambulizi, anajua kuusoma mchezo vizuri, anajua kuanzisha mashambulizi kutokea nyuma hasa kwa zile pasi zake ndefu zenye macho pia amekuwa akifunga magoli muhimu kwa timu yake. Kitu pekee alichoshindwa ni nidhamu.
Kelvin Yondani, beki bora wa kati kumshuhudia hasa baada ya zama za Victor Costa kuisha.
Kwako mdau, unamzungumziaje Yondani?
View attachment 1145198
Umesoma hadi mwisho au umesoma mstari wa kwanza tu.Kwa iyo kipi cha kuigwa hapo kutoka kwake kwa mujibu wa andiko lako
Shida ya kuongozwa na mahaba ni hii sasa.... Mi nimeuliza kwa iyo tuige kipi hapo?Umesoma hadi mwisho au umesoma mstari wa kwanza tu.
Beki bora kwa miaka 10 iliyopita kwangu mimi ni Kelvin Yondani Cotton Injinia Vidic.
Licha ya umri kuanza kumtupa mkono sasa, Kelvin Yondani katika ubora wake alikuwa ni mwamba usiotikisika. Yondani anaweza akacheza mpira wa kutumia akili pia Yondani anaweza akacheza mpira wa nguvu na ubabe.
Amekuwa tishio kwa washambuliaji wengi nchini hata kwa marefa ambao wamekuwa wakimuogopa kumpa kadi pale anapocheza undava. Kwangu mimi beki unatakiwa uwe katika kariba ya Yondani.
Yondani ana ball control, anajua kupoza mashambulizi, anajua kuusoma mchezo vizuri, anajua kuanzisha mashambulizi kutokea nyuma hasa kwa zile pasi zake ndefu zenye macho pia amekuwa akifunga magoli muhimu kwa timu yake. Kitu pekee alichoshindwa ni nidhamu.
Kelvin Yondani, beki bora wa kati kumshuhudia hasa baada ya zama za Victor Costa kuisha.
Kwako mdau, unamzungumziaje Yondani?
View attachment 1145198
Nimejibu ile upuuzi yako.... Kuwa hawezi kuwa bora Lisa kumtemea mate KwasiSo Ramos akimtemea mtu mate inakua halali kwa Yondan?
Unaelewa ulichoandika lakini?Nimejibu ile upuuzi yako.... Kuwa hawezi kuwa bora Lisa kumtemea mate Kwasi
..............Hahahah mkuu siyo vizuri man!Mbona Aisha Manula alikimbia game ya Algeria kwa kisingizio amejeruhiwa?
Teh teh aliuza kiwanja alichopewa na MkuluYondani mchezaji pekee alieuza Kiwanja kabla hajakiona wala hajakabidhiwa na Magufuli.
Mpira anaujua, bangi anazijua. Na kisukuma anakijua.
Living legend Yondani.
Mwabeja sana.