Kelvin Yondani : The Living Legend

Kelvin Yondani : The Living Legend

Beki bora kwa miaka 10 iliyopita kwangu mimi ni Kelvin Yondani Cotton Injinia Vidic.

Licha ya umri kuanza kumtupa mkono sasa, Kelvin Yondani katika ubora wake alikuwa ni mwamba usiotikisika. Yondani anaweza akacheza mpira wa kutumia akili pia Yondani anaweza akacheza mpira wa nguvu na ubabe.

Amekuwa tishio kwa washambuliaji wengi nchini hata kwa marefa ambao wamekuwa wakimuogopa kumpa kadi pale anapocheza undava. Kwangu mimi beki unatakiwa uwe katika kariba ya Yondani.

Yondani ana ball control, anajua kupoza mashambulizi, anajua kuusoma mchezo vizuri, anajua kuanzisha mashambulizi kutokea nyuma hasa kwa zile pasi zake ndefu zenye macho pia amekuwa akifunga magoli muhimu kwa timu yake. Kitu pekee alichoshindwa ni nidhamu.

Kelvin Yondani, beki bora wa kati kumshuhudia hasa baada ya zama za Victor Costa kuisha.

Kwako mdau, unamzungumziaje Yondani?

View attachment 1145198
TATIZO KUBWA NI BANGI ALIZOANZA KUZIVUTA SHULE YA MSINGI HUKO MWANZA NA HAKUWAHI KUZIACHA MPAKA LEO.HATA AKIONGEA UNAJUA KABISA HUYU JAMAA BANGI IMETEKA UBONGO WAKE.NA BANGI NDO ILIATHIRI MPIRA WAKE KWA KIASI FULANI VINGINEVYO ANGEFIKIA LEVEL ZA KINA GEORGE MAGERE MASATU!
 
FORTALEZA "Kitu pekee alichoshindwa ni nidhamu."
Ingekuwa hivyo mkude na ajib wasingeachwa kwa falsafa ya Mwl Ima Amunike, Yondan anajua majukumu yake beki hasifiwi, hata akina Ali ali, Pascal wawa, ninja, sonso wote ni katili, sema suala linakuja kwenye kuonesha waziwazi, yondan kuna wakati anaonesha wazi sana, lkn wenzake undava wanauficha

Nikupe mfano, wawa au nyoni anaweza cheza rafu kwenye eneo la hatari na refa akaona, na pia yondani anaweza Fanya the same mistake na refa akaona, lkn maamuzi ya tukio hill moja yakawa tofauti, unajua kwanini. Kuna kitu kinaitwa facial expression, kwa yondan anaonesha USO ambao ni kama kuna ugomvi lakn wawa au nyon hawana hivyo, hivyo mwamuz kumuangalia yondan ataona km amemdharau, lkn alivyo
By the namkubali mwamba huyu.
 
Hili halina mjadala, wanaobisha ni wale mamluki katika mchezo huu pendwa
Kwa ligi yetu ya bongo na namna yondan alivyomudu anastahili heshima
 
Kama kawaida yetu Watanzania tunaucheza moira mdomoni tuuu
Eti mchezaji hugo ni mpiga mpira hachezi
Beki bora kwa miaka 10 iliyopita kwangu mimi ni Kelvin Yondani Cotton Injinia Vidic.

Licha ya umri kuanza kumtupa mkono sasa, Kelvin Yondani katika ubora wake alikuwa ni mwamba usiotikisika. Yondani anaweza akacheza mpira wa kutumia akili pia Yondani anaweza akacheza mpira wa nguvu na ubabe.

Amekuwa tishio kwa washambuliaji wengi nchini hata kwa marefa ambao wamekuwa wakimuogopa kumpa kadi pale anapocheza undava. Kwangu mimi beki unatakiwa uwe katika kariba ya Yondani.

Yondani ana ball control, anajua kupoza mashambulizi, anajua kuusoma mchezo vizuri, anajua kuanzisha mashambulizi kutokea nyuma hasa kwa zile pasi zake ndefu zenye macho pia amekuwa akifunga magoli muhimu kwa timu yake. Kitu pekee alichoshindwa ni nidhamu.

Kelvin Yondani, beki bora wa kati kumshuhudia hasa baada ya zama za Victor Costa kuisha.

Kwako mdau, unamzungumziaje Yondani?

View attachment 1145198
 
Kev
IMG_20190830_232950.jpeg
 
Back
Top Bottom