Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #61
Rekodi ya aina yake hiiYondani mchezaji pekee alieuza Kiwanja kabla hajakiona wala hajakabidhiwa na Magufuli.
Mpira anaujua, bangi anazijua. Na kisukuma anakijua.
Living legend Yondani.
Mwabeja sana.
Usimwite mkuu, huyo ni kichwa ngumu mjingaMkuu umemwelewa mleta mada?
Wewe binafsi ulikuwa na msaada gani hata hela ya maji hujuchangia?Fala tu.... Msaada ni upi kwa taifa lake.... Kwenye michuano iliyomalizika ya afcon??
Mbona Paolo Maldini maisha yake yote ya soka kacheza Ac Milan, ina maana sio bora?Anaweza kuwa bora kwa gongo wazi. beki gani sijawahi sikia kahitajika hata na timu nyingine nje ya timu yake
Uliwahi sikia Ryan Giggs au Paul Scholes wakihitajika ktk timu zingine? Je walikuwa wabovu? Mbumbumbu bwanaaa! Rage aliona mbali sanaAnaweza kuwa bora kwa gongo wazi. beki gani sijawahi sikia kahitajika hata na timu nyingine nje ya timu yake
Shida ya wabongo ndio hii.... Wepesi kushawishika kwa vitu vya kiseenge matokeo yake ndio tunaunda timu mbovu kuwah kutokea.....
Yondan ni wa kawaida saana, anaonekana game na ndanda .... Kashndwa kumdhibiti keita balde.... Si ujinga huu..
Tuwekage ushabiki kando tutoe comments za ukweli ili kufanikisha chaguz sahihi za wachezaji.
Haya mleta mada... Kipi cha pekee ambacho yondan pekee ndio anacho au kakifanya ambacho anastahil hadi kumwagiwa sifa zoote