Kelvin Yondani : The Living Legend

Kelvin Yondani : The Living Legend

Yondani mchezaji pekee alieuza Kiwanja kabla hajakiona wala hajakabidhiwa na Magufuli.
Mpira anaujua, bangi anazijua. Na kisukuma anakijua.
Living legend Yondani.
Mwabeja sana.
Rekodi ya aina yake hii
 
Anaweza kuwa bora kwa gongo wazi. beki gani sijawahi sikia kahitajika hata na timu nyingine nje ya timu yake
 
Shida ya wabongo ndio hii.... Wepesi kushawishika kwa vitu vya kiseenge matokeo yake ndio tunaunda timu mbovu kuwah kutokea.....

Yondan ni wa kawaida saana, anaonekana game na ndanda .... Kashndwa kumdhibiti keita balde.... Si ujinga huu..


Tuwekage ushabiki kando tutoe comments za ukweli ili kufanikisha chaguz sahihi za wachezaji.

Haya mleta mada... Kipi cha pekee ambacho yondan pekee ndio anacho au kakifanya ambacho anastahil hadi kumwagiwa sifa zoote

Povu
 
Back
Top Bottom