Kemea roho ya kujiua juu yako na watu wako wa karibu

Kemea roho ya kujiua juu yako na watu wako wa karibu

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Ni miezi 3 au miwili sasa tangu Roho wa Mungu aniambie hili jambo. Still anasema nami kuhusu hili. Nadhani liko njiani au mlangoni kabisa this time.
Watu wengi Tanzania au duniani wanakwenda kujiua kwa kujinyonga, kunywa sumu na kwa kutumia njia zingine.

Ni mapepo ya uharibifu kutoka kuzimu yanakwenda kufanya hizo vurugu.

Ingawa watu watasukumwa kujiua kwa sababu za ugumu wa maisha, migongano ya kifamilia , mpenzi na migongano ya kibinafsi. Ni nguvu kutoka kuzimu maana watajiua mpaka watu wenye pesa nyingi kwenye account zao za benki.

Kila asomaye ujumbe huu akemee roho ya kujiua juu ya maisha yake na watu wake wa karibu.
 
Watu wengi Tanzania au duniani wanakwenda kujiua kwa kujinyonga, kunywa sumu na kwa kutumia njia zingine.
Ni mapepo ya uharibifu kutoka kuzimu yanakwenda kufanya hizo vurugu.
Ingawa watu watasukumwa kujiua kwa sababu za ugumu wa maisha, migongano ya kifamilia , mpenzi na migongano ya kibinafsi.
Kila asomaye ujumbe huu akemee roho ya kujiua juu ya maisha yake na watu wake wa karibu.
Mapepo kutoka kuzimu mnayasingizia tu.

Huwezi kuthibitisha yapo.

Ukibisha, thibitisha.
 
Back
Top Bottom