Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Mapepo kutoka kuzimu mnayasingizia tu.Watu wengi Tanzania au duniani wanakwenda kujiua kwa kujinyonga, kunywa sumu na kwa kutumia njia zingine.
Ni mapepo ya uharibifu kutoka kuzimu yanakwenda kufanya hizo vurugu.
Ingawa watu watasukumwa kujiua kwa sababu za ugumu wa maisha, migongano ya kifamilia , mpenzi na migongano ya kibinafsi.
Kila asomaye ujumbe huu akemee roho ya kujiua juu ya maisha yake na watu wake wa karibu.
It's time now .Dah!! Juzi usiku wa juma pili kuamkia j3
Mwanangu mmoja huko Tabora kajinyonga sababu mpk sasa haitambuliki.
Tuanze kwanza kuipinga CCM wakikimbia ndio tumshughulikie shetaniIt's time now .
Mpingeni shetani naye atawakimbia