Ukitoa shule za Kanisa hakuna shule inayotoa 2M+ kwa mwalimu( tena hao ulowataja pale Kuwa mwalimu ni zaidi ya kuwa mtumwa)(namanisha shule za Mtaala wa serikali ya Tz)Mwalimu anakula take home 2M+ extra analipwa+ Malupulupu
Kwanini asijitoe kwa wanafunzi.
hujui kitu kuna yaan ufundishe tanganyika pale usipate 2M?? ada kwa mwaka milion 69"Ukitoa shule za Kanisa hakuna shule inayotoa 2M+ kwa mwalimu( tena hao ulowataja pale Kuwa mwalimu ni zaidi ya kuwa mtumwa)
Kinachobeba hiyo hali ya matokeo mazuri , mdau mmoja kasema vema kabisa hapo juu kuwa, ukiachana na mchujo wa usahijili, ila bado kuna mchujo wa ndani ilo kuwasajili kama Kemeboys alafu marks zako zikiwa za kawaida utabaki kama kaizirege.
Sasa ukiskia Kaizirege&kemeboys wewe utavutiwa na matokeo ya hao wanapasua sana Kumbe bado mtoto wako akifika kule inategemeana mtihan atafanyia kwa jina lipi la kituo ila wote wanasoma pamoja.
😁😁😁😁,enzi hizo haitokuwepo tena😁,, ma Gen Z watakuwa washatawanyisha muungano😁Hahaha hongera sana dogo hachelewi kuwa raisi huko Tanganyika kwa vipanga😃😃
😄 muungano tuunganishwe na mabinti wa huko tu lakni🤔 , nimekumbuka mchumba wangu mmoja anaitwa shufwa , alinifugisha mzuzu wa ndevu huyo😁😁😁😁😁,enzio hizo haitokuwepo tena😁,, ma Gen Z watakuwa washatawanisha muungano😁
😁😁😁😁😁,Kwa mabinti TU??mtawaoa?😄 muungano tuunganishwe na mabinti wa huko tu lakni🤔 , nimekumbuka mchumba wangu mmoja anaitwa shufwa , alinifugisha mzuzu wa ndevu huyo😁
Mtumeeetanganyika pale ada kwa mwaka milion 69"
KUchamba kwingi huku unachanganya mada, Tanganyika na kina St Francis ni mitaaala miwili tofauti kabsahujui kitu kuna yaan ufundishe tanganyika pale usipate 2M?? ada kwa mwaka milion 69"
ambayo nahisi ww unaipata kwa miaka 7😅🤣😆
natania mkuu 🤣😂
Hao vipanga mbona hatuwaoni wakitikisa hapa nchini Wala duniani?Kila kitu ni jitihada, uwekezaji na commitment.
Hakuna Mwanafunzi Mjinga hayupo
Hakuna kama icho hizo ni ndotoWakienda advance wanachakazwa na St kayumba😄😄😄
Unajua maana ya kufeli?Nimepata muda wa kuperuse matokeo ya form 2 NECTA latest results, nimeona watoto wote wa Kemebos wakiwa na Division 1 Point 7.
Daaah niwape hongera kubwa waalimu wa hii shule kama hakuna janja janja kwenye ufanyaji wa mitihani. Hata matokeo ya form 4 mtoto aliyefeli sana alipata Division One ya point 11
kunq mwalimu mkuu wa english medium anapokea zaid ya 2M pamoja na house transport na airtime allowance ila kwa akii yako hutaamini.KUchamba kwingi huku unachanganya mada, Tanganyika na kina St Francis ni mitaaala miwili tofauti kabsa
nimegugu mtandaoni inasema bara la africa linachangia 1.67% ya ujuzi wa kisayansi duniani..Hao vipanga mbona hatuwaoni wakitikisa hapa nchini Wala duniani?
Mtoto anakaririshwa masomo yake kama juzuu za kuruani halafu mnawaita vipanga?
AI ina data ila sio hadi ground level, na AI ni trained mara kadhaa huwa naingia na kuikosoa au kuirekebisha na tena narudi baadae nakuta ina makosa yale yale naisisitiza ijirekebishe.Hizi LLM AI zina data za maana kuhusu Tanzania kuliko serikali yenyewe inavyojijua, research utaelewa
Za kupewa changanya na zako 😁AI ina data ila sio hadi ground level, na AI ni trained mara kadhaa huwa naingia na kuikosoa au kuirekebisha na tena narudi baadae nakuta ina makosa yale yale naisisitiza ijirekebishe.
AI yako haijakueleza kuwa Kemebos wanachuja wanafunzi. Sababu hiki kitu shule hizo huwa hazitaki kijulikane, na huwa hazisemi wala haziandiki popote.
AI inakuwa fed na taarifa zilizopo online, leo Mbagala wakiamua wauze fungu la nyanya kuanzia za 500 na hakuna chini ya hapo ila wasiandike mtandao wowote basi AI haitojua. Kwahiyo ukiiuliza ipange bajeti ya mlo wa 1500 pale Mbagala, itakutaka ununue nyanya za 200.
AI sio ya kutumia kwenye vitu local vinavyotaka very specific answers.
Ni vipanga mkuu kwa nafasi zaoHao vipanga mbona hatuwaoni wakitikisa hapa nchini Wala duniani?
Mtoto anakaririshwa masomo yake kama juzuu za kuruani halafu mnawaita vipanga?
Investment and commitmentkunq mwalimu mkuu wa english medium anapokea zaid ya 2M pamoja na house transport na airtime allowance ila kwa akii yako hutaamini.
Kwa hiyo unataka akuite 'kipenzi chake'?Oyaa kuitana mtoa mada sio poa?
Elimu sio siasa hapa utaionea Bure serikali.Hiyo shule nimeisikia sana sifa zake, inabidi serikali na watu binafsi watumie ujasusi kujua mbinu gani wanatumia then wazitumie hizo mbinu kujiimarisha kama wanaweza, matokeo yao sio kawaida