GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani kama Yanga SC na Simba SC wamemshindwa kwa tabia zake nyie ndiyo mtamuweza? Na mlivyo Wapuuzi nyie wenyewe ndiyo mmempa Mkataba 'Maalum' kuwa awe anakuja tu huko Mkoani kwenu mliko Siku Mbili kabla ya Mechi yoyote na akimaliza Kucheza Siku hiyo hiyo anarudi Dar es Salaam kuendelea kula zake Bata Mbezi Beach Maskani Kwake halafu leo mnalalamika kuwa ameanza kuwaonyesheni Jeuri.
Tena niwaambieni Ken Gold FC hapo bado kuna Vitimbi vingine vikubwa sana anaenda Kuwaonyesheni na mtajuta Oky?
Tena niwaambieni Ken Gold FC hapo bado kuna Vitimbi vingine vikubwa sana anaenda Kuwaonyesheni na mtajuta Oky?