let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Watoto was juzi hawamjui.akiwa mahakamani akisomewa mashtaka yake yeye alikuwa busy akimfanyia dhihaka hakimu huku akijua kabisa shitaka lake linalenga uhai wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sani Abacha alaishi milele yote.Kule Nigeria kosa lake kubwa ni kuwatetea wananchi dhidi ya dhuluma waliofanyiwa na Kampuni za Mafuta kama Shell matokeo yake akapewa kesi ya uhaini na kuishia kunyongwa na Sani Abacha, msichukulie poa, kuweni makini sana, Bandari haichukuliwi na Waarabu, Waarabu wa Emirate hawawezi kung’ang’ania kijibandari cha Dar.
Kabla ya kuingia vitani ni lazima mmjue adui yenu kwanza, anzieni hapo ili mjue mnapambana na nani mjipange.
Ken Saro Wiwa excuted by the Government of Nigeria!
View attachment 2717145
kwani akiuliwa huyo muuwaji ataenda wapi tuambie huyo sani abacha unajua alikufaje au unakurupuka tu, swala la kufa ni swala la kujadili wewe ndio mtu uliyekata tamaa na dhreads zako maana huwezi kujipigania badala yake kukata kwako tamaa ndio kunakufanya ufikir kila mtu ana akili kama zako, wewe kama huwezi mapambano kaa kimya kama wale wanengua viouno wa ccm kina dayamond maana huna any impact.Hiyo siyo ishu, Wanaigeria bado wanaibiwa na hao hao shell, hiyo misemo ni ya kukata tamaa, ni lazima ujue chanzo na umjue adui kwanza ujue unapambana na nani na jinsi gani uende vinginevyo hakuna utacho achieve, utauliwa na hakuna kitakachobadillika lkn wewe una familia inayokutegemea pia …
Halafu baada ya hapo San Abacha alifuatia, kwa kufia hotelini alikokuwa na malaya. Wauaji nao baadabya kuua, nao huwa ndio mwisho wao wa kuishi.Kule Nigeria kosa lake kubwa ni kuwatetea wananchi dhidi ya dhuluma waliofanyiwa na Kampuni za Mafuta kama Shell matokeo yake akapewa kesi ya uhaini na kuishia kunyongwa na Sani Abacha, msichukulie poa, kuweni makini sana, Bandari haichukuliwi na Waarabu, Waarabu wa Emirate hawawezi kung’ang’ania kijibandari cha Dar.
Kabla ya kuingia vitani ni lazima mmjue adui yenu kwanza, anzieni hapo ili mjue mnapambana na nani mjipange.
Ken Saro Wiwa excuted by the Government of Nigeria!
View attachment 2717145