Ken Saro-Wiwa aliuwa kwa Uhaini, msichukulie poa, its evil!

Watoto was juzi hawamjui.akiwa mahakamani akisomewa mashtaka yake yeye alikuwa busy akimfanyia dhihaka hakimu huku akijua kabisa shitaka lake linalenga uhai wake.
 
Sani Abacha alaishi milele yote.

Viagra ilifedhehesha legacy
 
kwani akiuliwa huyo muuwaji ataenda wapi tuambie huyo sani abacha unajua alikufaje au unakurupuka tu, swala la kufa ni swala la kujadili wewe ndio mtu uliyekata tamaa na dhreads zako maana huwezi kujipigania badala yake kukata kwako tamaa ndio kunakufanya ufikir kila mtu ana akili kama zako, wewe kama huwezi mapambano kaa kimya kama wale wanengua viouno wa ccm kina dayamond maana huna any impact.
 
Halafu baada ya hapo San Abacha alifuatia, kwa kufia hotelini alikokuwa na malaya. Wauaji nao baadabya kuua, nao huwa ndio mwisho wao wa kuishi.

Ukiona tu mtawala ameanza kuua raia, ujue muda wake wa maisha ya Duniani, umefikia ukomo.
 
MAAMUZI YA WAKOMA YAIPA NCHI USHINDI.

Israeli ilipopata habari kuwa Washami wameizingira Nchi, wakafunga malango, amna Kutoka Wala kuingia.

Njaa ikawa Kali sana mjini,

Kumbuka WAKOMA hawana makazi, watu wamefungiwa, wakakosa watu wa kuwapa msaada wa chakula.

Ikafika time waisraeli waliofungiwa, wakawa wanakula MAVI ya njiwa Kwa kuyanunua Kwa pesa.

Njaa ilipozidi, wakasemezana, tutakufa Kwa njaa tusipofanya maamuzi magumu,

Wakasema, tukiendelea kukaa hapa tutakufa Kwa njaa, tukitoka nje ya mji tutachinjwa na maadui Washami!!!

Wakaamua moja kuwa twendeni kwenye kambi za Washami nje ya mji tukaombe chakula kama wakituua, kufa na tufe kuliko kufa Kwa njaa!!

Matokeo yake walipokuwa wakitembea kwenda kambi za Washami Mungu akawasikilizisha hatua za WAKOMA na kusikika kama sauti ya Jeshi kubwa linakuja.

Washami kusikia vile, wakakimbia na kuacha Kila kitu Hadi silaha.

WAKOMA walipofika wakashangaa kukuta vyakula silaha nk nk Washami hawapo.

Walipokula na kusaza wakarudi kuwastua wenzao kuwa huku mambo shwari.

Historia ya WAKOMA ikaandikwa, ni MASHUJAA Hadi Leo vitabuni.

Chukua hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…