GE2025 Kenan Kihongosi: Gwajima anafanya upotoshaji na uchochezi

GE2025 Kenan Kihongosi: Gwajima anafanya upotoshaji na uchochezi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Katibu Mwenezi wa CCM, Kenani Kihongosi amesema Askofu Josephat Gwajima anatumia dini kupotosha umma pamoja na kufanya uchochezi.
 
Mtu anayekemea utekaji anaitwa mpotoshaji .

Halafu anayeteka anapewa na ulinzi juu.

Hiyo ndio KAZI NA UTUMWA.

Siku inakuja watekaji nao watageukiwa na kutekwa.
20251027_045200.jpg
 
Dah hivi kuna watu wamejipa mamlaka mpaka za kutusemea kila jambo..Hivi jamani Gwajima hata km ana mapungufu yake ..tumsamehe ila anachokipigia kelele kwani hakipo sasa upotoshaji unakuja wapi hapo ...Huyo kenani ndo mpotoshaji watu wanatekwa mbona hakemei
 
Huyu sijui ni mhehe wa wapi!! Hakujawahi kutokea mhehe bwege na mnafiki wa kiasi hiki. Mtu yeyote mwenye akili timamu na mwenye hekima atampongeza mtu yeyote anayekemea ushetani wa kuteka watu.
 
Katibu Mwenezi wa CCM, Kenani Kihongosi amesema Askofu Josephat Gwajima anatumia dini kupotosha umma pamoja na kufanya uchochezi.
Weye ndio wapotosha.

Waongea mambo menigne kabisa ambayo si aloyaongea Gwajima.

Jibu hoja za Mchungaji Gwajima ambae ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM.
 
Back
Top Bottom