Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi amesema wanaohamasisha maandamano wana mahali pa kukimbilia vurugu zikitokea, hivyo amewasihi wananchi kutowasikiliza.
Hizi kauli ni zakijinga sana kwa hiyo kwa sababu familia zao zipo nje ndio nchi hii waendele kula wa chache tuu.Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi amesema wanaohamasisha maandamano wana mahali pa kukimbilia vurugu zikitokea, hivyo amewasihi wananchi kutowasikiliza.
Mnabeba watu kwenye malori kama ng' ombe alafu unajitapa nini?
Naunga mkono hojaKatibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi amesema wanaohamasisha maandamano wana mahali pa kukimbilia vurugu zikitokea, hivyo amewasihi wananchi kutowasikiliza.
Labda wanamchukulia mume wakeUshenzi mtupu!
Wanachocheaje vurugu?
Tukianza kutaja familia za wanaccm kuanzia awamu ya kwanza hadi hii kwa viongozi wanao ndugu /jamaa/wanafamilia nje ya nchi.