Kenani: CCM ni chama cha kidemokrasia, kinachopeleka maaendelea kwa jamii

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndg. Kenani Laban Kihongosi akizungumza kwenye kipindi cha PB cha Clouds Fm amesema CCM ni chama cha Demokrasia na kinacholeta maendeleo kwa jamii

Kutoka 20:16
[16]Usimshuhudie jirani yako uongo.
Thou shalt not bear false witness against thy neighbour.
 
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndg. Kenani Laban Kihongosi akizungumza kwenye kipindi cha PB cha Clouds Fm amesema CCM ni chama cha Demokrasia na kinacholeta maendeleo kwa jamii
Vijana wake mpo kazini? Kila atakalo tapika ninyi ni kubandika hapa tu
 
Aache uongo. Hicho ni kikundi cha wahuni wachache na familia zao. Hakuna chama cha kidemokrasia hapo.
 
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndg. Kenani Laban Kihongosi akizungumza kwenye kipindi cha PB cha Clouds Fm amesema CCM ni chama cha Demokrasia na kinacholeta maendeleo kwa jamii

View attachment 3652955
Hakuna kisichoendelea. Hata kobe anasogea mwendo, ila hana mbio kama duma.

So Tanzania ni kobe kwa maendeleo tukijipima na Nchi zingine zilivyo duma in speed of development.

Miaka karibu 70 ya uhuru ni aibu ukilinganisha na rasilimali lukuki.
 
ccm watakuwa na definition ya demokrasia tofauti na hii inayojulikana kwa wengi.
 
Back
Top Bottom